Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo

Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo

I hope watarudia hiyo kazi.... maana nimepita December ile lami kama walipuliza wino wa Bic 😁 😁 😁 .... layer ya juu ikitoka kidogo tu, unaona dongo jekundu
Wameanza rehabilitation hasa sehemu ya Dodoma na Iringa jirani na airport pale.
 
Sio kupigwa,wali underestimate loading yake kwa sababu hiyo barabara ina malofi mazito robo tatu ni mbao,,malori ni mengi kuliko magari mengine.

Ilitakiwa ijengwe kwa asphalt Ili iwe imara zaidi .
Imejengwa kwa asphalt ila surface dressing, Labda ulimaanisha Asphalt Concrete, Lami ya premix
 
Imejengwa kwa asphalt ila surface dressing, Labda ulimaanisha Asphalt Concrete, Lami ya premix
Mambo ya kitaalam sana haya, kwahiyo ili iwe imara zaidi ya pale ilitakiwa ijengweje Mkuu. Maana mimi nikiona rangi nyeusi ile naita mkeka umenga'aa[emoji3][emoji3].
 
Hizi barabara ni kuwa wanarudia kuzijenga au! Kama wanazirudia tuna safari ndefu sana ya maendeleo
 
Zenyewe hizi barabara zinajengwaga tuuuu mbona hatuoni cha maana
Tangu ni ujenzi tuuuuu
Kufa kufaaaana kuleni kodi
Kila awamu wanakuja na mtindo kwani hakuna mengine ya kuyafanyia kazi kila siku barabara vyoo madaraja tureni mnatuchosha
 
Rubbish.

Hakunaga miradi ya fulani bali kuna miradi ya Nchi..mwenye dhamana ndio atatekeleza.

Mfano Mwalimu Nyerere aliasisi Makao makuu kuwa Dodoma,akatungia na sheria..

Akaja Mwinyi akafanya yake,akaja MKapa akajenga Chimwaga na Chamwino Ikulu.

Akaja JK akajenga Bunge jipya,UDOM,ukumbi wa JK white house,akajenga Audit office,BoT,akaanzisha ofisi ya Waziri Mkuu na baadhi ya Wizara nk.

Akaja Mwendazake ndio Katia msukumo mkubwa zaidi,Samia nae anaendeleza kwa hiyo sio ishu ya fulani
Ikulu ya Chamwino ilijengwa na Nyerere na Chimwaga pia Nyerere
 
Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;

AWAMU YA 6 KAZINI

Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma (KM 112.3)

Benki kufadhili zaidi ya miradi 11 ya sekta moja ya Ujenzi na Uchukuzi ambayo ni zaidi ya 1900KM, hii inadhihirisha kuwa kweli Benki ya Maendeleo ya Afrika ni benki ya maendeleo ya Afrika lakini kwa maendeleo ya Waafrika - Rais Samia

Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;
  • Barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu 260KM ujenzi unaendelea.
  • Tabora (Usesula-Koga-Mpanda) 342KM hii imekamilika
  • Upanuzi wa Sakina Tengeru 14KM wa njia nne
  • Njia mchepuo Kusini Jiji la Arusha 42.4KM
  • Barabara ya Mbinga-Mbamba Bay 66KM
  • Barabara ya Singida-Babati-Minjingu 223.5KM
  • Barabara ya Arusha-Namanga 105KM
  • Iringa- Dodoma 260KM
  • Namtumbo-Tunduru 190KM
  • Mayamaya-Bonga 188KM
  • Tunduru - Mangaka Mtambaswala 202.5KM

TANZANIA: President Samia lays today a foundation stone for the implementation of the 112.3 km Dodoma City Outer Ring Road.

Two Chinese firms (CCECC and AVIC-INTL) to build the ring road worth $214.69M.

CCECC will construct 52km within 39 months and AVIC 60km in 43 months.

View attachment 2114124

View attachment 2114126

View attachment 2114127

View attachment 2114129

View attachment 2114130

View attachment 2114131
ila hawa viongozi huwa wanachuki sana na kamda ya ziwa.....!! yaani asilimia kubwa ya miradi yao inaelekezwa Dodoma na mikoa mingine ya kiserikali lakini kanda ya ziwa hata hawaikumbuki sijui shida nini?
 
Mambo ya kitaalam sana haya, kwahiyo ili iwe imara zaidi ya pale ilitakiwa ijengweje Mkuu. Maana mimi nikiona rangi nyeusi ile naita mkeka umenga'aa[emoji3][emoji3].
Surface dressing ni ya kiwango cha chini na bei nafuu, ila sio guarantee ya kuharibika mapema
 
Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;

AWAMU YA 6 KAZINI

Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma (KM 112.3)

Benki kufadhili zaidi ya miradi 11 ya sekta moja ya Ujenzi na Uchukuzi ambayo ni zaidi ya 1900KM, hii inadhihirisha kuwa kweli Benki ya Maendeleo ya Afrika ni benki ya maendeleo ya Afrika lakini kwa maendeleo ya Waafrika - Rais Samia

Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;
  • Barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu 260KM ujenzi unaendelea.
  • Tabora (Usesula-Koga-Mpanda) 342KM hii imekamilika
  • Upanuzi wa Sakina Tengeru 14KM wa njia nne
  • Njia mchepuo Kusini Jiji la Arusha 42.4KM
  • Barabara ya Mbinga-Mbamba Bay 66KM
  • Barabara ya Singida-Babati-Minjingu 223.5KM
  • Barabara ya Arusha-Namanga 105KM
  • Iringa- Dodoma 260KM
  • Namtumbo-Tunduru 190KM
  • Mayamaya-Bonga 188KM
  • Tunduru - Mangaka Mtambaswala 202.5KM

TANZANIA: President Samia lays today a foundation stone for the implementation of the 112.3 km Dodoma City Outer Ring Road.

Two Chinese firms (CCECC and AVIC-INTL) to build the ring road worth $214.69M.

CCECC will construct 52km within 39 months and AVIC 60km in 43 months.

View attachment 2114124

View attachment 2114126

View attachment 2114127

View attachment 2114129

View attachment 2114130

View attachment 2114131
Hapo sijaona Ile ya kutoka USA ujenzi wa daraja pale Maji ya Chai na daraja la kikavu pamoja na lami toka USA mpaka Holili
 
Sio hivyo but jua kabisa anatekeleza ilani ile ile ya CCM ambayo ndio ya mwendazake
Hili ndio jibu sahihi halafu anaweza kiamua kuacha hizo project mbona kuna project Magufuli alizikataa Ila mama amezirudisha na hawasemi?
 
Ukweli ni kwamba Samia Hana jipya la kufanya Kwa sasa , Kwa sababu plan za Maghufuli na miradi iliyokuwepo hairuhusu kuanzishwa Kwa miradi mipya , binginevyo mzigo utakuwa mkubwa Sana , effectively miradi yake itaanza 2026...!!!
Hata hiyo 2026, si lazima ikubalike?
 
Back
Top Bottom