Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Naelewa kwa sababu hiyo ni picha maarufa ma husambazwa kila watu wanapokufa zanzibar kwa kumla huyo kasa.Huy
Huyu sio Kobe mkuu ni Kasa(turtle)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naelewa kwa sababu hiyo ni picha maarufa ma husambazwa kila watu wanapokufa zanzibar kwa kumla huyo kasa.Huy
Huyu sio Kobe mkuu ni Kasa(turtle)
Naelewa kwa sababu hiyo ni picha maarufa ma husambazwa kila watu wanapokufa zanzibar kwa kumla huyo kasa.Inawezekana ulikua na lengo zuri, lakini ulichoposti hapo sio KOBE.
Huyo ni KASA.
Haya turudi kwenye mjadala sasa...
Man, you gotta have a retirement plan.Huna mtoto wewe eti mpenzi mtazamaji .
....hta wewe utazeeka na unakuta umefanya effort ila pesa ulilipia ada watoto na wakipata baadae wasikuangalie wewe Uwe mpenzi mtazamaji ni wao na wake zao tu how will you feel?fucking ushauri....
Kwan kobe alikua ni muislam?Katika uislamu kuwatunza wazazi ni lazima na sio ombi kutokufanya hivyo ni dhambi kubwa itakayokufanya uingie jahanam.......
Mwenyezi haikubali ibada ya mtu asiyewatendea wema wazazi wake............
Hapana hakuwa muislamu bali nimejaribu tu kutanabaisha na kutoa mwanga kwa wengine ambao pengine walikuwa hawajui......Kwan kobe alikua ni muislam?
Utamu uko wapi sasa hapo?!Grudges , grudges, grudges.............she hold those for a loooooong time .
Ila sheria za kiislamu tamu sana kwa sababu kwenye mirathi hadi wazazi wapo pia mfano mume anaweza rithiwa na mke wake, watoto wake , wazazi wake na kuna muda hadi ndugu baadhi upande wa mume wanarithi na kwa mke vivyo hivyo.
Na kuwatunza wazazi wawili ni jukumu la lazima la mtoto as long as upo hai na kushindwa kufanya hivyo ni madhambi makubwa mno.
Kutunza wazazi ni hisani tu, sio wajibu.Huna mtoto wewe eti mpenzi mtazamaji .
....hta wewe utazeeka na unakuta umefanya effort ila pesa ulilipia ada watoto na wakipata baadae wasikuangalie wewe Uwe mpenzi mtazamaji ni wao na wake zao tu how will you feel?fucking ushauri....
Kobe yeye kwa nini hakuwapa ama kuwasaidia wazazi wake akiwa hai?
Mwanaume cha kwanza unachotakiwa kufanya ukifanikiwa ni ku uplift kwanza background yako kabla hujaamua kusimama mwenyewe.
How comes jamaa aliwaacha na kuwatelekez wazazi wake bila kuwainua?
Watu weusi wa ulaya wana malezi mabaya sana. Angalia Ronaldo, amepata pes acha kwanza ni nyumbani, kuinua watu wako, kuinua ndugu zako kisha unaamua kujiinua mwenyewe
Shida ilikua kwa kobe, alikua mtu wa hovyo.
Kuwasaidia wazazi ni hisani, haipaswi kuwa jukumu la lazima.Namna hiyo napoihusudu sheria ya mirathi ya waislamu. Kuwasaidia wazazi ni jukumu jema sana.
Eti wakamzaa Kobe [emoji23][emoji23]Sasa unalaumu nn hapo?
Wazazi walikuwa na maisha yao wakamzaa kobe.
Kobe akawa na maisha yake akatengeneza familia yake, maana yake kobe akawa kizazi kingine mbele.
Sasa mzazi anahusikaje hapo zaidi ya hisani tu?
Yaani nisiipende familia yangu kwa sababu ya mzazi wangu?
Mzazi anatakiwa kuwa mpenzi mtazamaji..
Anajukumu la kupenda mkwe wake na wajukuu pia, akitimiza hilo atapendwa na familia yote na hizo offer atapata tu, kama si kwangu basi kwa mke wangu au wajukuu zake.
Jitahidi kuuliza maswali ya maana kidogo basi mkuu. Tumia vizuri akili ndogo uliyonayo kuuliza vitu vya kueleweka.Kw nini wazazi wake hawakutafuta pesa ??
Ahaaaa. Issue ya kuandaa wosia naona ni maamuzi ya mtu. Wengine wanaacha mali zao kwa watu ambao hawana hata mahusiano na kuwaacha wanafamiliaHapana hakuwa muislamu bali nimejaribu tu kutanabaisha na kutoa mwanga kwa wengine ambao pengine walikuwa hawajui......
Ni wajibu wa kisheria na maadili wazazi kulea na kutunza watoto wanaowazaa, sio wajibu wa watoto kutunza waliowazaa, ni hisani tu. Ndio maana mzazi anaweza kupelekwa mahakamani akaamriwa na mahakama kisheria kutoa matunzo ya mtoto ila mtoto hawezi kupelekwa mahakamani akaamriwa kutoa matunzo ya wazazi au ndugu.Huu ujinga ndio sitarajii kufanya kama nitakuwa na mali nyingi.
Tunafika pahali tulipo ndugu na wazazi wakiwa wamepambana kwa jasho na damu tena kwa kuuza mali zao, tena kwa kujinyima kula na kuvaa.
Tukishapata mali na mungu akatuchukua wanabaki wanafaidi mke na watoto ambao kiuhalisia hawana mchango wowote wewe kufika hapo ulipo zaidi ya kutumia walichokukuta nacho.
Mtu kama umejaliwa mali andika mapema angalau 35% hadi 40% irudi kwa familia yako waliokutengeneza kufika hapo ulipo.
Nimeshaamua hivyo, Mali zangu lazima wazazi wangu wafaidi, wao ndio walionitengeneza. Imefika hatua wanaume tunatafuta mali za kunufaisha ukweni.Ni wajibu wa kisheria na maadili wazazi kulea na kutunza watoto wanaowazaa, sio wajibu wa watoto kutunza waliowazaa, ni hisani tu. Ndio maana mzazi anaweza kupelekwa mahakamani akaamriwa na mahakama kisheria kutoa matunzo ya mtoto ila mtoto hawezi kupelekwa mahakamani akaamriwa kutoa matunzo ya wazazi au ndugu.
Nimeshaamua hivyo, Mali zangu lazima wazazi wangu wafaidi, wao ndio walionitengeneza. Imefika hatua wanaume tunatafuta mali za kunufaisha ukweni.
Ukiondoka wanaobaki wanakenua meno na kufaidi mali zako ni mke, watoto na ndugu wa mkeo. Huu upumbavu sifanyi