A
Anonymous
Guest
Hivi,
Hela ya mirathi inapocheleweshwa kulipwa na mahakama wakati hatua zote zimefatwa, na wakati huo umeshafikisha malalamiko mpaka kwa mkuu wa malipo ya mirathi na bado mnazungushwa, ni hatua gani ya kufata ama ya kufanya?
Ni muda mrefu pesa yetu ya mirathi tunazungushwa kulipwa na sababu zinazotolewa si za upande wetu