A
Mirathi ni ya mtumishi au sio na imechukua muda ganiHivi,
Hela ya mirathi inapocheleweshwa kulipwa na mahakama wakati hatua zote zimefatwa, na wakati huo umeshafikisha malalamiko mpaka kwa mkuu wa malipo ya mirathi na bado mnazungushwa, ni hatua gani ya kufata ama ya kufanya?
Ni muda mrefu pesa yetu ya mirathi tunazungushwa kulipwa na sababu zinazotolewa si za upande wetu
NImekuelewa mkuu Binafsi niliwahi kuingia kwenye masaibu kama ya huyo mkuu nilikuja kusanuka dakika za mwisho mbona haikupita hata wiki tukawa tumemalizana. Mkono mtupu HaulambwiHahahaha nacheka kama mazuri ila hujawaelewa hao wanachotaka
sahihi sana.Nendeni kwa in charge wa mahakama iyo