Miriam Migomba aacha kazi TBC

Miriam Migomba aacha kazi TBC

Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu.

Migomba anakuwa mtangazaji wa pili kuondoka kwenye Shirika hilo ndani ya mwezi mmoja baada ya Djaro Arungu kuondoka wiki iliyopita.

View attachment 2898427


Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Huna kazi ya kufanya siyo? Nenda katuletea taarifa na taasisi zingine za umma walioacha kazi ni wangapi
 
Katika blunder ambayo Magufuli alifanya ni kuwapa vyeo vya kiutendaji academicians ndani ya Serikali the so called Ma doctors na Professors, hawa watu managerial skills ni zero.

Waachwe waendelee kufundisha na kuwafokea wanafunzi ndio level yao.
out of point, wenye magerial skills ndiyo hao viwango duni waliopata pass? IQ yako ni ndogo sana.
 
we ni kilaza ndio maana unawachukia intellectuals. Ni bahati mbaya sana kwako kuwa hao ndio wanaitawala dunia, ndiyo wanakuandalia kila andiko, iwe ni sheria, sera, kanuni, miradi n.k
Nakubaliana na wewe, yaani hao ma VCs vyuo vyote ni vimeo inasemekana siku hizi kama shule za misingi au sekondari kuna jamaa yangu anasema no independent thinking nowdays, ukijifanya mbishi wanakuhamishia ka chuo ka ajabu ajabu hahaha
 
Katika blunder ambayo Magufuli alifanya ni kuwapa vyeo vya kiutendaji academicians ndani ya Serikali the so called Ma doctors na Professors, hawa watu managerial skills ni zero.

Waachwe waendelee kufundisha na kuwafokea wanafunzi ndio level yao.
na wenyewe wanasali utupe leo mkate/riziki yetu ya kila siku!
 
Inawezekana mkurya alimpelekea bangi za kwao, akipigwa kiboot, kilichofuata ni personal vendetta. She looks good for personal consumption
 
Its look like staged and well staged but its leaves some questions especially on this Video….! Bila shaka wanataka kiki na kuna jambo wanakuja nalo….Video haioneshi mtu anaye acha kazi!

Let me be the last person to believe on this….
 
Nje ya Mada,,hili shangazi linaonekana NI Tamuu mnoo,,kotekote!!
 
Hajakosea kitu ni nyimbo zake zinachukuliwa kama za watu wa vijijini kwahiyo unaweza kumaliza miez 6 bila kuskia clouds wanapiga ngoma ya best Naso , Dijaro alikua anambeba itakua ni home boy wake
Nimekuelewa.
Kwahiyo kumbe hizi radio nyingine zinawahusu watu wa mjini pekee.
Kama ndiyo hivyo ni redio za kipumbavu.
 
Back
Top Bottom