Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kwahiyo ni machozi ya furaha?Analia kwa sababu Anaenda kupata bwana mpya (mwajiri mpya)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ni machozi ya furaha?Analia kwa sababu Anaenda kupata bwana mpya (mwajiri mpya)
Mwisho amevua miwani we umeona amefanyaje?
Sa analia nini?
Mbona kamaliza kwa uchungu sana. Shida ni nini?
Kwanini unalia, uchungu unatoka wap? Kilo chake kimenisisimua na kuamsha waliolala
Huna kazi ya kufanya siyo? Nenda katuletea taarifa na taasisi zingine za umma walioacha kazi ni wangapiJinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu.
Migomba anakuwa mtangazaji wa pili kuondoka kwenye Shirika hilo ndani ya mwezi mmoja baada ya Djaro Arungu kuondoka wiki iliyopita.
View attachment 2898427
Video: Djaro Arungu aacha kazi TBC
Mtangazaji wa kipindi cha "Papaso" Djaro Deus Arungu, ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuanzia leo sio mfanyakazi wa TBC FM. ANGALIA VIDEO HAPA Djaro amefanya kazi TBC kwa muda wa miaka 20. Written by Mjanja M1 ✍️www.jamiiforums.com
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
out of point, wenye magerial skills ndiyo hao viwango duni waliopata pass? IQ yako ni ndogo sana.Katika blunder ambayo Magufuli alifanya ni kuwapa vyeo vya kiutendaji academicians ndani ya Serikali the so called Ma doctors na Professors, hawa watu managerial skills ni zero.
Waachwe waendelee kufundisha na kuwafokea wanafunzi ndio level yao.
Nakubaliana na wewe, yaani hao ma VCs vyuo vyote ni vimeo inasemekana siku hizi kama shule za misingi au sekondari kuna jamaa yangu anasema no independent thinking nowdays, ukijifanya mbishi wanakuhamishia ka chuo ka ajabu ajabu hahaha
Hajakosea kitu ni nyimbo zake zinachukuliwa kama za watu wa vijijini kwahiyo unaweza kumaliza miez 6 bila kuskia clouds wanapiga ngoma ya best Naso , Dijaro alikua anambeba itakua ni home boy wakeBest Nasso amezikosea nini hizo redio nyingine?
Tudadavulie ingawa kidogo.
na wenyewe wanasali utupe leo mkate/riziki yetu ya kila siku!Katika blunder ambayo Magufuli alifanya ni kuwapa vyeo vya kiutendaji academicians ndani ya Serikali the so called Ma doctors na Professors, hawa watu managerial skills ni zero.
Waachwe waendelee kufundisha na kuwafokea wanafunzi ndio level yao.
Furaha miaka 20 sio mchezo mchezoWasome hawa walioona...
Shida iko wapi!Mbona ni wewe ndio unaleta habari zao za kuchishwa kazi
Bosi wa kanisa katoliki ameidhinisha ndoa za jinsia moja kwa kondoi wake namimi nataka nikuoe uwe mkewanguMbona ni wewe ndio unaleta habari zao za kuchishwa kazi
Nimekuelewa.Hajakosea kitu ni nyimbo zake zinachukuliwa kama za watu wa vijijini kwahiyo unaweza kumaliza miez 6 bila kuskia clouds wanapiga ngoma ya best Naso , Dijaro alikua anambeba itakua ni home boy wake
Wanaangalia nyimbo gani zina ushawishi zisizo na ushawishi hawapigiNimekuelewa.
Kwahiyo kumbe hizi radio nyingine zinawahusu watu wa mjini pekee.
Kama ndiyo hivyo ni redio za kipumbavu.
Wakajiajiri kwa mtaji upi??Waende wakajiajiri sana watafia kwenye ajira za watu.
Hata kuuza nyanya inatosha.Wakajiajiri kwa mtaji upi??
Ukute mshahara wake ilikuwa laki 5