mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Hao wengine kama akina Gwajima hawana hadhi ya UaskofuKuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Naona hadhi ya uaskofu unayo weweHao wengine kama akina Gwajima hawana hadhi ya Uaskofu
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kila kitu kina fanya kazi kwenye dimension yake. Mafuta hayawezi kuchanganywa na maji, ukiweka mafuta kwenye moto yanachemka lakini maji yanapotelea hewani.Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Amemtapeli nani nitajie mtu mmoja tu!Mkuu usifananishe Maaskofu wa kweli na mhuni na tapeli Gwajiboy. Huyo kawapata wajinga wake anaendelea kuwatapeli.
Wewe ndio mjinga kuliko wajinga wote waliowahi kutokea. Ndio maana ni ngumu sana Watu kama wewe kufika mbali. Uko radhi umpinge mtanzania mwenzako na kutukana huduma yake lakini usifie huduma za watu wa magharibi kwa sababu ambazo hazileti hata maana uanze cha kwako leo utake kupewa support??Na tena wenye wake wanaosali huko kwa Gwajiboy wajiandae kumegewa. Hasira za kukosa ushindi kwenye kura za maoni kanazihamishia kwenye kuwasugua wake zao!
Weee mjinga kabisa. Tangu lini roho akafwata taratibu za wanadamu. Kasome bibilia ndio urudi uchangie.kuna watu wapo smart sana and professional, ila kuna mijitu utafikiri inahati miliki ya Mungu, utasikia tunaongozwa na roho mtakatifu mara oooh hatufuati liturugia muda kwao sio kitu...wanaweza kesha wakiabudu, kwenye mabanda yao wameweka muda na ibada ila ukiingia ndani unakutana na mambo ambayo hayapo kwenye ratiba yao..alafu wanajifariji kuwa roho mtakatifu anawaongoza wasifuate muda
ni mchungaji wako eh?Usipo mtaja Gwajiboy hipumui
Tatizo nao walishachakachua kuna makundi mawili siku hizi kuna low church na high church mojawapo linafuata litrujia kama kanisa kuu na wanaimba mpaka gregorian. Lakini kuna lingine mbwembwe maigizo ya kukemea mapepo ,kelele za mapambio na magitaa kama akina gwajimaAnglican haina tofauti sana na Katoliki!
Uliona wapi kwenye biblia ya kwamba mtu alienda Shule akamaliza ndio akaanza huduma Yeremia alisoma shahada ipi?Ulichelewa sana kuijua tofauti hiyo. Hawa wanapita shuleni kwa miaka mingi na kuchujwa sana. Hao wa kiroho wa kujipa uaskofu na kujipandisha wenyewe bila vigezo hawawezi kushindanishwa na wa kanisa katoliki!!?
Basi endelea na uongo wako ukifa tu utagundua point na utakuwa umeshachelewaRoman Catholic ni dhehebu duniani linaloamini mtu hata akiwa jambazi akafa na ujambazi wake waliobaki wakimwombea anaenda mbinguni, madhehebu mengine yote hayaamini katika hilo,yanaamini mtu hutengeneza njia yake kabla hajaondoka
Hili ni kanisa mama, makanisa mengine kama la Gwajima kazi ku cheza porn tuKatoliki sio kanisa la mchezomchezo
Na wewe unaliwa na Gwajiboy? Pole aiseeWewe ndio mjinga kuliko wajinga wote waliowahi kutokea. Ndio maana ni ngumu sana Watu kama wewe kufika mbali. Uko radhi umpinge mtanzania mwenzako na kutukana huduma yake lakini usifie huduma za watu wa magharibi kwa sababu ambazo hazileti hata maana uanze cha kwako leo utake kupewa support??
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Tofauti ipo kwa kilakitu yan hawafanani hata suraAnglican haina tofauti sana na Katoliki!
Amemtapeli nani nitajie mtu mmoja tu!
Au unalopoka tu??