Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hao wengine kama akina Gwajima hawana hadhi ya Uaskofu
 
Tuache ushabikii Jamaniiii ,hizi blogs zinamtumia Gwajima ili ziongeze Watu,
Hazina vitu vya kuweka so Mnajitahidi. Kwa Namna yoyote kumtaja Gwajima DAAAAA NACHEKAAA Sanaa HAAAA AAAAAAAAAAA AHAAAAAAAAAAaaaaaaaaaa
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Mambo kama hayo yanajengwa. Hayaji kama mvua ya Lowasa kutoka Thailand
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Hapo kwenye nyekundu, kwani hayo rasmi hayatoi huduma za kiroho?
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kila kitu kina fanya kazi kwenye dimension yake. Mafuta hayawezi kuchanganywa na maji, ukiweka mafuta kwenye moto yanachemka lakini maji yanapotelea hewani.
 
Na tena wenye wake wanaosali huko kwa Gwajiboy wajiandae kumegewa. Hasira za kukosa ushindi kwenye kura za maoni kanazihamishia kwenye kuwasugua wake zao!
Wewe ndio mjinga kuliko wajinga wote waliowahi kutokea. Ndio maana ni ngumu sana Watu kama wewe kufika mbali. Uko radhi umpinge mtanzania mwenzako na kutukana huduma yake lakini usifie huduma za watu wa magharibi kwa sababu ambazo hazileti hata maana uanze cha kwako leo utake kupewa support??
 
kuna watu wapo smart sana and professional, ila kuna mijitu utafikiri inahati miliki ya Mungu, utasikia tunaongozwa na roho mtakatifu mara oooh hatufuati liturugia muda kwao sio kitu...wanaweza kesha wakiabudu, kwenye mabanda yao wameweka muda na ibada ila ukiingia ndani unakutana na mambo ambayo hayapo kwenye ratiba yao..alafu wanajifariji kuwa roho mtakatifu anawaongoza wasifuate muda
Weee mjinga kabisa. Tangu lini roho akafwata taratibu za wanadamu. Kasome bibilia ndio urudi uchangie.
 
Anglican haina tofauti sana na Katoliki!
Tatizo nao walishachakachua kuna makundi mawili siku hizi kuna low church na high church mojawapo linafuata litrujia kama kanisa kuu na wanaimba mpaka gregorian. Lakini kuna lingine mbwembwe maigizo ya kukemea mapepo ,kelele za mapambio na magitaa kama akina gwajima
 
Ulichelewa sana kuijua tofauti hiyo. Hawa wanapita shuleni kwa miaka mingi na kuchujwa sana. Hao wa kiroho wa kujipa uaskofu na kujipandisha wenyewe bila vigezo hawawezi kushindanishwa na wa kanisa katoliki!!?
Uliona wapi kwenye biblia ya kwamba mtu alienda Shule akamaliza ndio akaanza huduma Yeremia alisoma shahada ipi?
Vitu vingine mtumie akili hata kama hamna mungu hafwati taratibu za wanadamu
 
Roman Catholic ni dhehebu duniani linaloamini mtu hata akiwa jambazi akafa na ujambazi wake waliobaki wakimwombea anaenda mbinguni, madhehebu mengine yote hayaamini katika hilo,yanaamini mtu hutengeneza njia yake kabla hajaondoka
Basi endelea na uongo wako ukifa tu utagundua point na utakuwa umeshachelewa
 
Wewe ndio mjinga kuliko wajinga wote waliowahi kutokea. Ndio maana ni ngumu sana Watu kama wewe kufika mbali. Uko radhi umpinge mtanzania mwenzako na kutukana huduma yake lakini usifie huduma za watu wa magharibi kwa sababu ambazo hazileti hata maana uanze cha kwako leo utake kupewa support??
Na wewe unaliwa na Gwajiboy? Pole aisee
 
Bwashee acha uchokoz

Back
Top Bottom