Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Mkuu misafala ni tawala zote, Rais akitoka ni msafala,Mi nashauri inunuliwe helicopter nzuri na ya Kisasa isaidie kuokoa Muda.Mkuu Pascal kulaumu traffic wetu na Sirro ni kazi bule ,utawala wa awamu hii unapenda misafala ya ndani zaidi wakati awamu iliyopita ilipenda misafala ya nje. Sirro na traffic wake wanapewa amri tu ya kusafisha njia na kama unavyo jua amri toka juu za awamu zinavyotisha...😀😀😀
Inakera sana,kuna siku niliganda pale Tazara Masaa 2 bila sababu ya msingi,anayetusubilisha ndiyo kwanza alikuwa anahutubia Mwanza.
Sikulaumu ila nikaconclude kuwa kweli sisi ni dunia ya tatu
Iwe ilani ya CCM kuwa serikali hsipaswi kuwapotezea muda wananchi wake walipa kodi.Wanabodi,
Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo.
Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa karibu dakika 30 kupisha msafara wa Kiongozi fulani anatokea njia ya Bagamoyo.
Huku kusimamishana babarani nusu saa nzima, kisa anapita kiongozi, ilikuwa ni zile enzi za ujima, kwenye dunia ya sasa ya the age of information science, unamsimamisha mtu dakika 30 kupisha msafara wa kiongozi ni kupotezaana muda. Wengine kazi zetu zina very tight deadlines, kama zilivyo tender deadlines, umechelewa hata dakika moja, imekula kwako.
Ndio maana sisi tunawasisitiza viongozi wetu, wasiopenda kusafiri nchi za watu kwa lengo la kubana matumizi, mara moja moja wasafiri tuu kwenda nchi za Ulaya na Amerika, sio kwa ajili ya kwenda kuponda raha, au kubembea hewani kwa kukwea pipa bali kusafiri ili kwenda kupata tuu exposure, wenzetu wakoje na wanafanyaje mambo yao.
Kwa hili la misafara ya viongozi ya kupotezeana muda, namshauri Afande IGP, Kamanda Sirro, amchukue Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, akafanye ziara ya kimafunzo nchini Sweden aone misafara ya viongozi wa wenzetu wanaojali muda.
P
Wanabodi,

90% yetu hatujastaarabika badoSema wewe hujastaarabika, usisemee wengine. Mleta mada kayasema haya kuonesha amestaarabika
Wengine tumestaarabika90% yetu hatujastaarabika bado
Hahaha!Hahahhaha unajua hayo maneno hua yanaunganishwa
Hahaha! Back in the day!TIME IS MAKANGABILITY!!!!! badala yamaking a bility
Trump mwenyewe anapishana na magari akiwa New York
Watu wanalinda ugali mkuu, timing inaweza ikaenda vibaya ugali wa mtu ukamwagika.Wanabodi,
Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo.
Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa karibu dakika 30 kupisha msafara wa Kiongozi fulani anatokea njia ya Bagamoyo.
Huku kusimamishana babarani nusu saa nzima, kisa anapita kiongozi, ilikuwa ni zile enzi za ujima, kwenye dunia ya sasa ya the age of information science, unamsimamisha mtu dakika 30 kupisha msafara wa kiongozi ni kupotezaana muda. Wengine kazi zetu zina very tight deadlines, kama zilivyo tender deadlines, umechelewa hata dakika moja, imekula kwako.
Ndio maana sisi tunawasisitiza viongozi wetu, wasiopenda kusafiri nchi za watu kwa lengo la kubana matumizi, mara moja moja wasafiri tuu kwenda nchi za Ulaya na Amerika, sio kwa ajili ya kwenda kuponda raha, au kubembea hewani kwa kukwea pipa bali kusafiri ili kwenda kupata tuu exposure, wenzetu wakoje na wanafanyaje mambo yao.
Msafara ulipopita, umepita kwa mwendokasi wa speed 150 kph, na umbali wa Bagamoyo Mbezi Beach, ni appx 50km, hivyo kwa mwendokasi huo, msafara unatumia just 20 minutes, hivyo akina sisi tumesimamishwa huku majiani, kabla hata msafara haujafika Bagamoyo!.
Kwa hili la misafara ya viongozi ya kupotezeana muda, namshauri Afande IGP, Kamanda Sirro, amchukue Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, akafanye ziara ya kimafunzo nchini Sweden aone misafara ya viongozi wa wenzetu wanaojali muda, wanafanya nini?.
Kule Sweden hakuna kusimamishwa kwa kupotezeana muda, hata ukija ugeni wa rais, magari yanasimamishwa for less than 3 minutes. Misafara ya wenzetu inatumia precise timings kwa kutumia GPS, msafara ukifika Bagamoyo, wanaona time calculations msafara utafika Mbezi saa ngapi, then kabla ya just 5 minutes before ndipo barabara zinafungwa. Hizo GPS kwenye hizo SUV zenu za nini?.
Misafara ya wenzetu kwa long trips kama Dar -Bagamoyo, kunakuwa na pikipiki 5 kwenye msafara, piki piki moja mbele, pikipiki 2 kulia na mbili kushoto. Zile pikipiki zinakwenda fasta kuziba barabara ya mbele just two minutes kabla msafara haujapita, msafara ukiishapita, zile mbili nyingine zinatangulia mbele kwa interchangeable paces. Yale mapikipiki makubwa ya polisi wa wenzetu kwenye misafara ya viongozi sio ya kurembeshea tuu msafara, bali pia kutumika kufunga njia na kufunga, sisi kutokana na umasikini, just imagine the labour cost ya kutandaza traffic barabara nzima toka Bagamoyo hadi Dar, tunatumia Traffic wangapi?!. Japo ukubwa raha, wengine wote wanasimamishwa mkubwa apite, lakini kusimamishwa huku kusiwe kero kwa wengine. Tena wajemeni hii misafara ya wakubwa pia ni mateso kwa Traffic wetu japo ndio wameajiriwa kwa kazi hiyo, sidhani kama ni matumizi mazuri ya askari wetu kutandazwa njia nzima Dar-Bagamoyo kwa kazi ya kusimamisha magari nusu saa nzima kabla mkubwa hajapita,
Tukiufuata utaratibu kama huu wa Sweden, we can save a lot of time and put our askaris to a better use.
P
Wanaboa Sana hao watu,wawe wanasafiri usiku kutoka na kuingia mjini.Wanabodi,