Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

Miaka hiyo ya tisini na 97,98 wakati ICTR iko juu haswa na moto........... Nakumbuka akawa anapita askari mmoja wa ICTR alivalia kiraia na hakuwa raia wa Tanzania................ Mara paaah askari wa Tanzania akamvaa ondoka kaa pembeni. Yeeye akamuulisha how and why akamjibu Rais mstaafu Mwal. Nyerere anapita akamjibu kwani inahusiana vipi na movement yangu... nimejaza njia nzima ama.............

Huko Sweden kuna budget yake? na je wataelewa?
 
Mkuu Pascal kulaumu traffic wetu na Sirro ni kazi bule ,utawala wa awamu hii unapenda misafala ya ndani zaidi wakati awamu iliyopita ilipenda misafala ya nje. Sirro na traffic wake wanapewa amri tu ya kusafisha njia na kama unavyo jua amri toka juu za awamu zinavyotisha...😀😀😀
Mkuu misafala ni tawala zote, Rais akitoka ni msafala,Mi nashauri inunuliwe helicopter nzuri na ya Kisasa isaidie kuokoa Muda.
Leo nilikuwa Mwenge kwa saa 1 nzima gari ilikuwa mbele kabisaa tumekaa sana kusubiri msafala upite.
 
Wanabodi,

Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo.

Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa karibu dakika 30 kupisha msafara wa Kiongozi fulani anatokea njia ya Bagamoyo.

Huku kusimamishana babarani nusu saa nzima, kisa anapita kiongozi, ilikuwa ni zile enzi za ujima, kwenye dunia ya sasa ya the age of information science, unamsimamisha mtu dakika 30 kupisha msafara wa kiongozi ni kupotezaana muda. Wengine kazi zetu zina very tight deadlines, kama zilivyo tender deadlines, umechelewa hata dakika moja, imekula kwako.

Ndio maana sisi tunawasisitiza viongozi wetu, wasiopenda kusafiri nchi za watu kwa lengo la kubana matumizi, mara moja moja wasafiri tuu kwenda nchi za Ulaya na Amerika, sio kwa ajili ya kwenda kuponda raha, au kubembea hewani kwa kukwea pipa bali kusafiri ili kwenda kupata tuu exposure, wenzetu wakoje na wanafanyaje mambo yao.

Kwa hili la misafara ya viongozi ya kupotezeana muda, namshauri Afande IGP, Kamanda Sirro, amchukue Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, akafanye ziara ya kimafunzo nchini Sweden aone misafara ya viongozi wa wenzetu wanaojali muda.

P
Iwe ilani ya CCM kuwa serikali hsipaswi kuwapotezea muda wananchi wake walipa kodi.
 
Soon watahamia dodoma tuvumilie tu foleni zitaisha.Wasipoweka foleni watatambulika vipi kuwa ni viongozi
 
Wasiwasi wangu ni juu ya haya magari ya Ambulance yanayobeba wagonjwa kuwakimbiza hospitali ! Hivi kama yanapita kwenye barabara ambayo kuna msafara wa Rais unakuja huwa yanasimamishwa au yanaruhusiwa kupita?
Au Rais kwanza mgonjwa baadaye?
 
Kwanza nikupongeze kwa kuona umuhimu wa kutuma hii kitu, katika Hisabati Kuna kitu kinaitwa Standardisation, yaani kukileta kitu karibu na kingine ili visiachane Sana, na ndio maana kwa kimombo huita " Measure of central tendency". Nchi uliyotufanananisha nayo imbali Sana na sisi kiasi kwamba sijui Kama inawezekana ingawa nakuunga mkono kwa kusafiri huleta mafunzo mengi Kama wasemavyo waswahili kuwa Mguu mtembezi haukosi mwiba. Mimi ningeshauri tuanze na kuondoka upendeleo wa migawanyo inayofanyika kwenye makutano makubwa Kama vile Uhasibu, Tazara, Keko, Kamata n.k, Mimi kupitia funzo tulililopata Ubungo ningetamani Serikali Sehemu hizo nilizotaja hapo juu ziwekwe Round About kubwa Kama ya Ubungo ili kuepusha foleni Kama ilivyopungua Ubungo, Pia Askari wetu wa usalama barabarani wajikite kwenye kuhakikisha usalama unakuwepo wakati wa Mzunguko na waepukane na mawazo kwamba saa hizi wanaotokea upande Fulani Ni muhimu zaidi kuliko wengine hii huleta usumbufu Sana hasa nyakati za asubuhi na jioni, Pia wakati mwingine waweza mwona Askari anaingia Kati anavuta Magari ya upande mmoja muda mrefu mpaka unajiuliza sisi wa upande wa huku tumefanya kosa gani, ukitaka kuliona hili pita Kilwa road asubuhi/ jioni ukitokea Mjini/ Mbagala Mutawalia.
 
Kwa wenzetu viongozi wengi wao wanapita kihalali.

Nani anahofu ya ulinzi wa magari na misafara mirefu na isiyo jali kazi za raia wake?

Wanashindana kwa nguvu na uonevu na sio kwa hoja ndio vyanzo vya woga na uhitaji wa kuwekwa mtu kati eti 'for security purposes'.

Wanaambiwa wakafanye kazi huku wanawasimamisha kwenye misafara mirefu isiyo na tija.
 
Wanabodi,
Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo.

Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa karibu dakika 30 kupisha msafara wa Kiongozi fulani anatokea njia ya Bagamoyo.

Huku kusimamishana babarani nusu saa nzima, kisa anapita kiongozi, ilikuwa ni zile enzi za ujima, kwenye dunia ya sasa ya the age of information science, unamsimamisha mtu dakika 30 kupisha msafara wa kiongozi ni kupotezaana muda. Wengine kazi zetu zina very tight deadlines, kama zilivyo tender deadlines, umechelewa hata dakika moja, imekula kwako.

Ndio maana sisi tunawasisitiza viongozi wetu, wasiopenda kusafiri nchi za watu kwa lengo la kubana matumizi, mara moja moja wasafiri tuu kwenda nchi za Ulaya na Amerika, sio kwa ajili ya kwenda kuponda raha, au kubembea hewani kwa kukwea pipa bali kusafiri ili kwenda kupata tuu exposure, wenzetu wakoje na wanafanyaje mambo yao.

Msafara ulipopita, umepita kwa mwendokasi wa speed 150 kph, na umbali wa Bagamoyo Mbezi Beach, ni appx 50km, hivyo kwa mwendokasi huo, msafara unatumia just 20 minutes, hivyo akina sisi tumesimamishwa huku majiani, kabla hata msafara haujafika Bagamoyo!.

Kwa hili la misafara ya viongozi ya kupotezeana muda, namshauri Afande IGP, Kamanda Sirro, amchukue Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, akafanye ziara ya kimafunzo nchini Sweden aone misafara ya viongozi wa wenzetu wanaojali muda, wanafanya nini?.

Kule Sweden hakuna kusimamishwa kwa kupotezeana muda, hata ukija ugeni wa rais, magari yanasimamishwa for less than 3 minutes. Misafara ya wenzetu inatumia precise timings kwa kutumia GPS, msafara ukifika Bagamoyo, wanaona time calculations msafara utafika Mbezi saa ngapi, then kabla ya just 5 minutes before ndipo barabara zinafungwa. Hizo GPS kwenye hizo SUV zenu za nini?.

Misafara ya wenzetu kwa long trips kama Dar -Bagamoyo, kunakuwa na pikipiki 5 kwenye msafara, piki piki moja mbele, pikipiki 2 kulia na mbili kushoto. Zile pikipiki zinakwenda fasta kuziba barabara ya mbele just two minutes kabla msafara haujapita, msafara ukiishapita, zile mbili nyingine zinatangulia mbele kwa interchangeable paces. Yale mapikipiki makubwa ya polisi wa wenzetu kwenye misafara ya viongozi sio ya kurembeshea tuu msafara, bali pia kutumika kufunga njia na kufunga, sisi kutokana na umasikini, just imagine the labour cost ya kutandaza traffic barabara nzima toka Bagamoyo hadi Dar, tunatumia Traffic wangapi?!. Japo ukubwa raha, wengine wote wanasimamishwa mkubwa apite, lakini kusimamishwa huku kusiwe kero kwa wengine. Tena wajemeni hii misafara ya wakubwa pia ni mateso kwa Traffic wetu japo ndio wameajiriwa kwa kazi hiyo, sidhani kama ni matumizi mazuri ya askari wetu kutandazwa njia nzima Dar-Bagamoyo kwa kazi ya kusimamisha magari nusu saa nzima kabla mkubwa hajapita,
Tukiufuata utaratibu kama huu wa Sweden, we can save a lot of time and put our askaris to a better use.

P
Watu wanalinda ugali mkuu, timing inaweza ikaenda vibaya ugali wa mtu ukamwagika.
 
Huwezi kuifananisha Sweden na Tanzania kwenye Mambo ya ustaarab. Kule wanajielewa lakini huku kwetu madereva wa vyombo vya Moto wengi vichwa vigumu, sababu nadhani Ni umasikini na ujinga. Madereva wetu kipisha kingora Ni wazito Sana na mwengine anaweza kuona barabara ni nyeupe akaingia bila kujiuliza.

Paragraph ya nne, umemuonea tu. Mbona Mzee kikwete alikua anasafiri Sana lakini Mambo yalikua Ni haya haya. Nadhani ni chuki binafsi.
 
Wanabodi,
Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo.

Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa karibu dakika 30 kupisha msafara wa Kiongozi fulani anatokea njia ya Bagamoyo.

Huku kusimamishana babarani nusu saa nzima, kisa anapita kiongozi, ilikuwa ni zile enzi za ujima, kwenye dunia ya sasa ya the age of information science, unamsimamisha mtu dakika 30 kupisha msafara wa kiongozi ni kupotezaana muda. Wengine kazi zetu zina very tight deadlines, kama zilivyo tender deadlines, umechelewa hata dakika moja, imekula kwako.

Ndio maana sisi tunawasisitiza viongozi wetu, wasiopenda kusafiri nchi za watu kwa lengo la kubana matumizi, mara moja moja wasafiri tuu kwenda nchi za Ulaya na Amerika, sio kwa ajili ya kwenda kuponda raha, au kubembea hewani kwa kukwea pipa bali kusafiri ili kwenda kupata tuu exposure, wenzetu wakoje na wanafanyaje mambo yao.

Msafara ulipopita, umepita kwa mwendokasi wa speed 150 kph, na umbali wa Bagamoyo Mbezi Beach, ni appx 50km, hivyo kwa mwendokasi huo, msafara unatumia just 20 minutes, hivyo akina sisi tumesimamishwa huku majiani, kabla hata msafara haujafika Bagamoyo!.

Kwa hili la misafara ya viongozi ya kupotezeana muda, namshauri Afande IGP, Kamanda Sirro, amchukue Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, akafanye ziara ya kimafunzo nchini Sweden aone misafara ya viongozi wa wenzetu wanaojali muda, wanafanya nini?.

Kule Sweden hakuna kusimamishwa kwa kupotezeana muda, hata ukija ugeni wa rais, magari yanasimamishwa for less than 3 minutes. Misafara ya wenzetu inatumia precise timings kwa kutumia GPS, msafara ukifika Bagamoyo, wanaona time calculations msafara utafika Mbezi saa ngapi, then kabla ya just 5 minutes before ndipo barabara zinafungwa. Hizo GPS kwenye hizo SUV zenu za nini?.

Misafara ya wenzetu kwa long trips kama Dar -Bagamoyo, kunakuwa na pikipiki 5 kwenye msafara, piki piki moja mbele, pikipiki 2 kulia na mbili kushoto. Zile pikipiki zinakwenda fasta kuziba barabara ya mbele just two minutes kabla msafara haujapita, msafara ukiishapita, zile mbili nyingine zinatangulia mbele kwa interchangeable paces. Yale mapikipiki makubwa ya polisi wa wenzetu kwenye misafara ya viongozi sio ya kurembeshea tuu msafara, bali pia kutumika kufunga njia na kufunga, sisi kutokana na umasikini, just imagine the labour cost ya kutandaza traffic barabara nzima toka Bagamoyo hadi Dar, tunatumia Traffic wangapi?!. Japo ukubwa raha, wengine wote wanasimamishwa mkubwa apite, lakini kusimamishwa huku kusiwe kero kwa wengine. Tena wajemeni hii misafara ya wakubwa pia ni mateso kwa Traffic wetu japo ndio wameajiriwa kwa kazi hiyo, sidhani kama ni matumizi mazuri ya askari wetu kutandazwa njia nzima Dar-Bagamoyo kwa kazi ya kusimamisha magari nusu saa nzima kabla mkubwa hajapita,
Tukiufuata utaratibu kama huu wa Sweden, we can save a lot of time and put our askaris to a better use.

P
Wanaboa Sana hao watu,wawe wanasafiri usiku kutoka na kuingia mjini.
 
Back
Top Bottom