Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Ni Dr Misanya Bingi anajulikana hivyo kwa sasa. Mhadhiri Chuo Kikuu Dar es Salaam, fakati ya Sosholoji
 
Kama walivo sema walo tangulia, hvi sasa ni Dr Bingi

Uwa na miss sana huyu jamaa
 
654b8e453a978ce7eb262de813831712.jpg
 
This is so nice. Kuna dada anaitwa Vicky Msina, hivi sasa ni afisa mahusiano wa benki kuu, naye alikuwa anatangaza pamoja na Misanya Bingi enzi hizo kwenye kipindi cha "unasemaje" kuanzia saa 10 jioni radio one.
Nakumbuka sana zile RnB za nguvu alizokuwa anapiga kwenye kipindi hicho cha jioni kama vile thats what friends are for, am doing just fine, tell me its real e.t.c!!
 
...safi sana hiyo..Florah Nducha na Aunt Ndina je,wapi hawa masista?
 
Nakumbuka sana zile RnB za nguvu alizokuwa anapiga kwenye kipindi hicho cha jioni kama vile thats what friends are for, am doing just fine, tell me its real e.t.c!!
Hii ni kumbukumbu nzuri, enzi hizo nyimbo za kina Joe Thomas, Celine Dion, Tony Braxton na wengine ndio zilikuwa zinatamba.
 
Flora Nducha yuko radio ya umoja wa mataifa idhaa ya kiswahili New York Marekani, aunt Ndina simfahamu, lakini kama unajua jina lake kamili ukiandika naweza kumtambua.
..shukrani mkuu..Aunt Ndina alikuwa anaitwa Blandina Mwongezi;kama ubini wake ntakuwa nimeupatia spellings zake
 
Back
Top Bottom