barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ni mhadhiri UDSM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli maisha yanaenda kasi mkuu,,na mtafutae hakosi.Ni mhadhiri UDSM mambo ya Sociology tayari ana PhD kama sikosei. Ni Dr Misanya sasa!
ImefanyajeUdsm bwana...
soma juu utaelewaImefanyajr
Nakumbuka sana zile RnB za nguvu alizokuwa anapiga kwenye kipindi hicho cha jioni kama vile thats what friends are for, am doing just fine, tell me its real e.t.c!!This is so nice. Kuna dada anaitwa Vicky Msina, hivi sasa ni afisa mahusiano wa benki kuu, naye alikuwa anatangaza pamoja na Misanya Bingi enzi hizo kwenye kipindi cha "unasemaje" kuanzia saa 10 jioni radio one.
...safi sana hiyo..Florah Nducha na Aunt Ndina je,wapi hawa masista?This is so nice. Kuna dada anaitwa Vicky Msina, hivi sasa ni afisa mahusiano wa benki kuu, naye alikuwa anatangaza pamoja na Misanya Bingi enzi hizo kwenye kipindi cha "unasemaje" kuanzia saa 10 jioni radio one.
Flora Nducha yuko radio ya umoja wa mataifa idhaa ya kiswahili New York Marekani, aunt Ndina simfahamu, lakini kama unajua jina lake kamili ukiandika naweza kumtambua....safi sana hiyo..Florah Nducha na Aunt Ndina je,wapi hawa masista?
Hii ni kumbukumbu nzuri, enzi hizo nyimbo za kina Joe Thomas, Celine Dion, Tony Braxton na wengine ndio zilikuwa zinatamba.Nakumbuka sana zile RnB za nguvu alizokuwa anapiga kwenye kipindi hicho cha jioni kama vile thats what friends are for, am doing just fine, tell me its real e.t.c!!
..shukrani mkuu..Aunt Ndina alikuwa anaitwa Blandina Mwongezi;kama ubini wake ntakuwa nimeupatia spellings zakeFlora Nducha yuko radio ya umoja wa mataifa idhaa ya kiswahili New York Marekani, aunt Ndina simfahamu, lakini kama unajua jina lake kamili ukiandika naweza kumtambua.