Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemkumbuka Blandina Mwongezi, sijui yuko wapiFlora Nducha yuko radio ya umoja wa mataifa idhaa ya kiswahili New York Marekani, aunt Ndina simfahamu, lakini kama unajua jina lake kamili ukiandika naweza kumtambua.
Nimemkumbuka Blandina Mwongezi, sijui yuko wapi
Flora Nducha yupo radio ya umoja wa mataifa idhaa ya kiswahili....safi sana hiyo..Florah Nducha na Aunt Ndina je,wapi hawa masista?
mkuu itv imetoa watu wengi sana,mfano mwingine ni rukia mtingwa.This is so nice. Kuna dada anaitwa Vicky Msina, hivi sasa ni afisa mahusiano wa benki kuu, naye alikuwa anatangaza pamoja na Misanya Bingi enzi hizo kwenye kipindi cha "unasemaje" kuanzia saa 10 jioni radio one.
am doing just fine,boyz 2 men kwenye ubora waoNakumbuka sana zile RnB za nguvu alizokuwa anapiga kwenye kipindi hicho cha jioni kama vile thats what friends are for, am doing just fine, tell me its real e.t.c!!
Peace Kuyamba na Taji Liundi na Rankeem Ramadhani
kweli kabisa, mfano mwingine pia ni dada Leila Muhaji ambaye hivi sasa ni kaimu meneja mawasiliano wa Tanesco, yeye alikuwepo radio one wakati huo na kina Flora Nducha, Rose Chitala, Sebastian Maganga, Misanya Bingi, Mike Mhagama na wenginemkuu itv imetoa watu wengi sana,mfano mwingine ni rukia mtingwa.
rose chitala anaishi marekani now days sijui ana inshu gani,abubakary sadick kwa fujo bado yupo anapiga mzigoFlora nducha, Mikidadi Mahamud, Abubakar Sadick na Rose Chitalla wako wapi?
amerudi kwa kishindo kikubwa!Duh kitambo sijamsikia, hongera Misanya
Peace Kuyamba na Taji Liundi na Rankeem Ramadhani
SOS B hakuwa dj alikuwa mtangazaji, alikuwa anatangaza kipindi cha 'the heat' akiwa na DJ JDkuna dj mmoja alikiwa anaitwa sos b aka sostenes ambakisye huyu jamaa alikuwa fundi sana wa kupiga miziki.
mkuu alikuwa akijitambulisha kama dj sos b mara nyingneSOS B hakuwa dj alikuwa mtangazaji, alikuwa anatangaza kipindi cha 'the heat' akiwa na DJ JD