Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Duh,Misanya ashakuwa Dr.? aisee inabidi nikaze kamba aisee maisha ya mwendokasi haya!!
 
Nakumbuka kipindi chake cha kero, barabara ya mabibo ilipigiwa kelele sana hicho kipindi na mpaka lami ikawekwa
 
This is so nice. Kuna dada anaitwa Vicky Msina, hivi sasa ni afisa mahusiano wa benki kuu, naye alikuwa anatangaza pamoja na Misanya Bingi enzi hizo kwenye kipindi cha "unasemaje" kuanzia saa 10 jioni radio one.
mkuu itv imetoa watu wengi sana,mfano mwingine ni rukia mtingwa.
 
Nakumbuka sana zile RnB za nguvu alizokuwa anapiga kwenye kipindi hicho cha jioni kama vile thats what friends are for, am doing just fine, tell me its real e.t.c!!
am doing just fine,boyz 2 men kwenye ubora wao
 
mkuu itv imetoa watu wengi sana,mfano mwingine ni rukia mtingwa.
kweli kabisa, mfano mwingine pia ni dada Leila Muhaji ambaye hivi sasa ni kaimu meneja mawasiliano wa Tanesco, yeye alikuwepo radio one wakati huo na kina Flora Nducha, Rose Chitala, Sebastian Maganga, Misanya Bingi, Mike Mhagama na wengine
 
Flora nducha, Mikidadi Mahamud, Abubakar Sadick na Rose Chitalla wako wapi?
rose chitala anaishi marekani now days sijui ana inshu gani,abubakary sadick kwa fujo bado yupo anapiga mzigo
 
hivi DJ Ommy yuko wapi siku hizi? alikuwa akisikika kwenye kipindi cha 'Dj Show' radio one saa 8 mchana hadi saa 10 jioni
 
Back
Top Bottom