xz0r_africa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 316
- 314
1.Mkeka hauna uvunguJamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini.
1. Majungu mliyoyapika sasa mtayapakua
2. Nenda kaseme tena
3. Gusa unate
4. Flag ya chuma
5. Masikini hafilisiki