Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

 
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini.

1. Majungu mliyoyapika sasa mtayapakua
2. Nenda kaseme tena
3. Gusa unate
4. Flag ya chuma
5. Masikini hafilisiki
1.Mkeka hauna uvungu
2.Baba yako analog
3.Jino moja mswaki wa nini
4.Mama mkanye mwanao,gari siyo yangu
5.Panda juu kazibe
 
sawa
IMG-20210114-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom