xz0r_africa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 316
- 314
Vihoja wanavyofanya mwaka wa kwanza pindi wanapoingia chuoni kwa mara ya kwanza
First year wamekuwa wakifanya vimbwanga mbalimbali pale tu wanaopenda kufanya usajili mimi nimevinyaka hivi kwa first year wanaoingia chuoni kufanya usajili mwaka huu. Navibandika hapa na wewe bandika vyako hapo chini tuongezea angalau siku za kuishi.