Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Originally Posted by mdoe
mwanaume madeni


Mdoe, Hii nzuri, ipo practical sana
 
CAUTION: blind man driving.

Drive carefully.90% of people are accidents.

Mwambie mkeo nimesema asante.
 
Magari mengi yaliyoandikwa ni yale ya Mbagala.
1.Usiogope Ukubwa wa samaki, uliza bei.
2. Tema mate tumchape
 
Bongo Bwaana, mchana inzi,,, usiku mbu:israel::israel::israel::israel::israel:
 
1.usiku wa deni,haukawii kuchaaa!
2.ukitaka kuoa,oa mama ntilie siku huna unakula buuure!
3.ujana ule na nani,kisha uzee uje uzeeke kwangu?
 
Back
Top Bottom