Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Leo nimeona moja limeandikwa......"Silaha ni pesa, kisu kizito"
 
sheikh yuleyule kanzu mpya!

Panda juu ukazibe.

Sea never dry
 
ni isaka na moto dunia yafire.. hii alikuwa anaipenda mbunge wa Kondoa Juma Nkamia wakati akitangaza mpira redioni ikimaanisha kuwa pori laungua na dunia imeungua.... hii ni kwa lugha ya warangi
 
Ni wenge lake tu!
Mkate wenge!
Ndessa pesa(hapa wanampa shavu ndesamburo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…