Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Nyingine kule KIGOMA
No woman no Cry
Ikirudi pancha
Zafanana welawela
You can fool people some time
Akililia wembe mpe kisu
Mtachonga sana
Kutesa kwa zamu
 
Masikini haishiwi ndoto..

kuna msemo mmoja naupinga kidogo...''Maskni hafilisiki''......mimi nasema nasema masikini anafirisika na kuwa fukara..
 
Kumchinja Kobe yataka timing,
Utaishia kunawa,
Usiidharau kazi yangu yakwako hainisaidii,
Aibu yako ni yangu, lakini hii....!!!!
 
1.Mchana inzi usiku mbu
2.Wanga wafe
3.Kaseme tena
4.Kudua na kugosha chedi nini?
5.Na kwetu wako
6.Mume hashindwi
 
miss Manyara

...elimu kwanza

....utaisoma

....how am I driving?

...if you can read this you are too close

...wide load/vrag cargo

...asha ngedere

...Joni Sinna

...mwanamalundi

...twanga kotekote

...dege la jeshi

...ikiuma sema

...cheza na mke wangu usicheze na kazi yangu.

...mke nitakuazima,gari sitakuazima

...chaja ya kobe

...ya karim

...umebipu? Sasa unapigiwa.

...mteja ni ****

...imetoka hiyo..ikirudi pancha.

...punguza shida

...waweja kulumba

...kumbe chipsi ni viazi...

...usikanyage hapa

...a.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.k.a

...wrong number

...pesa mbele kama mimba.

...hiloooooooo! Nimelipita
 
Back
Top Bottom