Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Kuna costa moja bovu sana lilikua route ya segerea/ mnaz 1...imeandikwa "shose sha ruwa" sjui maana ake ilikua ni nn, sjui kilugha gan

Ni kichagga. Maana yake "vyote ni vya Mungu"!
 

mbona kakushauri vizuri tu? haya mie nakuwekea kabisa. kama unatukana, tukana tu. lkn uzi huu ni mkongwe kuliko wewe hapa jf, na majibu unayohitaji ndo yamejaa.

Majina ya daladala za bongo

https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/544466-majina-ya-daladala-za-bongo.html
 
Kuna lingine la Iringa hadi picha yake imewahi letwa hapa JF, ni basi bovu la kama miaka ya 40 hivi lakini limeandikwa VITU LAINIIII!

Mkiu hilo gari la Mzee Upete kwa jina lingine utelezi gawa malimao linaenda Usokani
 
Last edited by a moderator:
Kama kusubili ni dili basi endelea,hili liliandikwa kwenye daradar
 
usizoee kujua utaungua na juahttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/flame.gif
 
2015 RAIS LOWASSA NO COMMENT


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…