Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

this is really great posting...... i ilked a lot na nimekumbuka na kufurahia maana nzito zibebwazo na hizo semi
 
Ukimwona kobe juu ya mti, ujue kapandishwa.

Jogoo hauwawi na utitiri.
 
zote ni riziki ili mradi iwe halali, ukitaka mjua mume mwenza mwache mkeo, ukiona ngedere mjini jua ana mwenyewe..
 
'Mchana nzi usiku mbu'
'Ugumu wa maisha kipimo cha akili ya mtu'
 
Back
Top Bottom