Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Nilidhani Harusi kumbe virusi
If you cant see my mirror then I cant see you
 
Nilijua mtasema tu....
Mtoto wa mwenzako mkubwa mwenzio
Ukitaka ubondia usiogope ngumi za uso.
Mama mkanye mwanao (Defender la polisi)
 
nilifikir mtasema UKIZUBAA MUDA UNAKUACHA had T-shit yangu nimeandika alafu WASIONE KI2 HAWA, HAWAKOSI KASORO, UROHO MBAYA, UKIPEWA UTAKULA, alafu nikiangalia hii misemo kama inamaana furan hv kama co majungu kwa traff
 
Ikirudi pancha!
Wa mbili havai moja
kuvuja kwa pakacha
nilijua mtasema
yangu mpya yako mbovu wivu wa nini?
 
ya kwangu nimeandika..."REV; POWER MABULA".........."MTUME MABOYA"....."MCH: ABIUD MISHOLI"..........
 
Utazima feki,

ng'ombe ni ng'ombe ndama cheo,

ukizubaa unaliwa,

dunia ni mapito,

ukijamba sisi tunaharisha

obama,

mvi heshima
 
nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo.
Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni kuwa, wapo matajiri wanataka semi hizo ziandikwe, wakati mwingine ni madereva wenyewe huwa ndiyo wanaandika. Ila semi wanazoandika madereva ni zile zinazokuwa katika bomba au ngao (nyuma chini).

Semi hizi zinabea maana kubwa sana ikiwa ni zaidi ya kufurahisha kwa wakati wake. Mfano,
ukicheka na nyani utakula mabua.
Hata ukioga, mjini huendi.
Ulifikiri kumwambia baba yako hallo kwenye simu ndiyo heshima?
Akikua ataacha!
Hata kwetu wapo.
Wanga sasa basi, ukimwi unatosha.
Mimba mnatoa, ukimwi je ?
Jino moja mswaki wa nini?
Swali kabla hujaswaliwa.
Dume kwenye mfuko wa nyuma?
Usivue viatu kuna mbigiri.
Changanya na zako!!!
Unga robo, usicheze mbali.
Butua uwakomboe wenzako.
Si ulisema tamu, unalia nini?

Naomba utushirikishe semi ulizowahi au unazozisoma toka katika magari hayo.
utazima feki,

ng'ombe ni ng'ombe ndama cheo,

ukizubaa unaliwa,

dunia ni mapito,

ukijamba sisi tunaharisha

obama,

mvi heshima
 
Back
Top Bottom