Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Nguvu huna, pesa huna, hata mkwara!!
Dcm Kawe/Mtongani
 
Nanyanyasika japo sisemi. Utakula ulikopeleka mboga!
 
Hii ilimfanya dreva wa dcm apigwe bao baada ya trafic kusoma na kupata hasira mwaka 2006 a town...KWANI KITU KIDOGO NI LAZIMA ?
 
wakuu hawa jamaa wa magari wana akili sana tusiwadharau hata kidogo
 
hapa pochi 2 hapendwi mtu
mwanaume hasfiwi sura
 
Yule msiependa sasa amefika
Ndima ni ndima, tigoshiwe ndima wagosi
Shinda uvizu uje nyemi
Beberu hachagui zizi
Ukubwa majukumu sio umri
Never forget DECI
 
Back
Top Bottom