Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ninafurahishwa na misemo inayaoandikwa katika magari hususani daladala.
1. Silaha pesa bastola mzigo
2. Hata uoge mjini huendi
3. Chezea mshahara usichezee kazi
4. Hata manyunyu ni mvua
endeleza hapo.
msiba hauna kadi
hahhaah.....mwingine alisema viti vipo lakini vimekaliwa.kona ndani kuna viti?
kwani hawa waliopo wamekaa chini?
kwi kwi mwingine alimwambia konda shusha , konda akamwambia njoo ushuke mwenyewe.Abiria anaita: Konda! Konda!
Konda akajibu: sijakonda ndio nilivyo
Mara yule abiria akaamua kusema: shusha kongo!
Konda akamjibu: passport unayo?
Kumbe...
Mkisinzia tunawasachi.