Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

ninafurahishwa na misemo inayaoandikwa katika magari hususani daladala.

1. Silaha pesa bastola mzigo
2. Hata uoge mjini huendi
3. Chezea mshahara usichezee kazi
4. Hata manyunyu ni mvua

endeleza hapo.


usiteme bg kwa karanga za kuonja- gongolamboto-kivukoni
 
Abiria anaita: Konda! Konda!
Konda akajibu: sijakonda ndio nilivyo

Mara yule abiria akaamua kusema: shusha kongo!
Konda akamjibu: passport unayo?
kwi kwi mwingine alimwambia konda shusha , konda akamwambia njoo ushuke mwenyewe.
 
Back
Top Bottom