Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

1.Tembo haogopi miba!...

2. komandoo hachagui msitu.
 
He!kumbe chips ni viazi!!
Ninafurahishwa na misemo inayaoandikwa katika magari hususani daladala.

1. Silaha pesa Bastola mzigo
2. Hata uoge mjini huendi
3. Chezea mshahara usichezee kazi
4. Hata manyunyu ni mvua

Endeleza hapo.
 
HALIUMIZI ILA NI UMBILE LAKE (tegeta-k/koo)

CHA ARUSHA (kawe-k/koo)

USIONE NIPO KIMYA NINAKUSUBIRI UROPOKE (mwenge-bagamoyo)

HATA KICHAA ANAJUA HATARI (bagamoyo-mwenge)

JIPENDEKEZE NIKUNYOOSHE (bagamoyo-mwenge)
 
Ninafurahishwa na misemo inayaoandikwa katika magari hususani daladala.

1. Silaha pesa Bastola mzigo
2. Hata uoge mjini huendi
3. Chezea mshahara usichezee kazi
4. Hata manyunyu ni mvua

Endeleza hapo.

Ukibip sisi tunapiga!
 
Ninafurahishwa na misemo inayaoandikwa katika magari hususani daladala.

1. Silaha pesa Bastola mzigo
2. Hata uoge mjini huendi
3. Chezea mshahara usichezee kazi
4. Hata manyunyu ni mvua

Endeleza hapo.

Nguvu kijijini,Akili Mjini.
jamatini>mipango
 
Ninafurahishwa na misemo inayaoandikwa katika magari hususani daladala.

1. Silaha pesa Bastola mzigo
2. Hata uoge mjini huendi
3. Chezea mshahara usichezee kazi
4. Hata manyunyu ni mvua

Endeleza hapo.

niko mbioni kumua Israeli mtoa roho,Shetan namtegea sumu ya panya..wakifa hawa ni Raha...
 
Back
Top Bottom