Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudua na Kughosha Chedi nini!!
Nyika Na Vome.
(MwlNyerere-Buguruni via Kawawa road.)
Kudua na Kughosha Chedi nini!!
Nyika Na Vome.
(MwlNyerere-Buguruni via Kawawa road.)
Mkuu mbona mara ya pili hii naona una'comment abracadabra ? Kama sio Viazi .
Huyu mdau kahitaji maneno yaandikwayo kwenye magari! Wewe wasema Sredi hii ilishakuja!
Kwani aliiteta huyu ?
Hata kama ! Nevertheless
Unashindwa kujiongeza kama kl siku magari mapya yanaongezeka ?
Wewe unajua gari nitakalo nunua mimi next wiki nitaliandika nini ?
Punguza viazi ! Huko ni kudandia kwenye bonet !
Just use you're two eyes for your self navigation .
madam samahan nimekuita kaka
Usijali mkuu,
Kuna wakati tunaekti kama makaka na wakati mwingine kama madada.
Relex-Peter Msechu.
haha asante,
Mkuu Pindima maneno hayo huambiwi wewe,anaambiwa ndugu patience96.
Mkuu Pindima maneno hayo huambiwi wewe,anaambiwa ndugu patience96.
duuh madame neno kaka limenikaa vidoleni sana kila mara linanitoka.
duuh madame neno kaka limenikaa vidolen sana kila mara linanitoka.
Mie umepatia ni kaka either it will be as a father !
But Madame she's a wife of someone who very popular around this Chtcht's pitch .
Kudua na Kughosha Chedi nini!!
Nyika Na Vome.
(MwlNyerere-Buguruni via Kawawa road.)