Kuna baadhi yao bado hawajasadiki na wamefanya mioyo yao kua migumu, bado wanasubiri noah zao.6.Ndipo wadanganyika walipoamini kuwa sizonje naye ni miongoni mwa waongea uongo ...
Kabisa yaaniMpaka unashindwa cha kuandika ....mwanzilishii atatufanya wekeend yetu iwe swaaaafiiiii ...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] jamaniKuna baadhi yao bado hawajasadiki na wamefanya mioyo yao kua migumu, bado wanasubiri noah zao.
Hakika watakesha wakiomba kusubiri noah zishuke toka mbinguni kama vichwa vya treni lakini hakuna. kitakachotokea
Faru johhny 21:4
Huyu kavurugwa naye kavamia hili jukwaa kama vichwa vya treniAmini nakwambia katika taifa la Jamii Forum kuna mgawanyiko wa majukwaa mbalimbali, ukiona huku kuna mizaha na upuuzi nenda kwingine na uyashike maneno haya ili usije kutukana tena. Jamii Forum 12:5-6
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee waTZ akili zetu tunazijua wenyewe, asanteni sana.Basi yule kuhani mkuu akanena!"ni kwa maombi ya nani miujiza hii?kwa ruhusa ya nani maombi hayo?hakika haya ni makufuru na siyatambui ,ondoeni vichwa hivi madhabahuni kwangu!majipu 06:7-17
Wasaidizi wa makuhani wakasemezana wao kwa wao "je ni nani kati yetu aliyeomba muujiza huu ?wale wasaidizi wakuu wakakana wakisema hakika hatutambui kufuru hii!
Mchecheto 05:7-17
KwakweriAlieanzisha huu uzi hongera zake ,unatufanya tuvunjike mbavu bila mwisho.
Na ni nani hasa mwanae akiomba mvua analetewa vichwa vya treni...? Hakika haijapata tokea maajabu katika nchi ile ya mfalme sizonje.Hivi ni nani kati yenu mwanae akimuomba samaki atampa nyoka? Nimevunjika mkono kwa ajili yenu leo mwanisulubisha kwa kunitolea bastola mbele ya umati huu? Eloi eloi la masaba kitani
1 Punyeto 6-9
Hahhhhhaa aisee nyie watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfalme alipokuwa akitoa sadaka ya kuteketezwa ya vichwa vya scania, tazama vichwa vya treni vikaanguka toka mbinguni, na aliye juu akapaza sauti yake akamwambia, nimeiona imani yako, viache vichwa vya scania. Injili ya Paramagamba 7: 2015-2025
Teh teh hiyo Punyeto unafikiria nimeweka kimakosa? Aliye tolewa bastola si ndie alisema ikulu tutaenda hata kwa bao la mkono? Sasa bao la mkono ni lipi kama sio Punyeto?Na ni nani hasa mwanae akiomba mvua analetewa vichwa vya treni...? Hakika haijapata tokea maajabu katika nchi ile ya mfalme sizonje.
Punyeto dhambi:4-22