Teh teh hiyo Punyeto unafikiria nimeweka kimakosa? Aliye tolewa bastola si ndie alisema ikulu tutaenda hata kwa bao la mkono? Sasa bao la mkono ni lipi kama sio Punyeto?
Hapo mwanzo kulikuwako na mfalmeJPM, nae JPM alikuwa na mwana jina lake bashite. Kukatokea nabii mmoja jina lake gwajima akamtenda visivyo stahili mwana wa mfalme.Naye mfalme akaonyesha hasira yake kwa kuvitwaa vichwa vya treni vya nabii na kuwagawia maskini. Gwajima 1:1-5
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaahNdipo makada wakajipiga vifua na kugalagala kwenye mavumbi kama chatu huku wakisema, "ewe Sizonje tuchukue utumwani milele"
Lumumba 4 : 5-13
Daaaaaaaaaaaaaa nimecheka kweliii ukikumbambana na mistari hii asubuhi unasahau kabsa kama hali ni ngumuNao wakasemezana tumfanye Mfalme huyu atutawale milele maana kupitia yeye tumepata kibali mbele ya macho ya muumba. Makinikia 21:3-4
Kweli usiku mfupi[/QUOTE
HahahahahahaNalikuwa katika mji wa Bandari Salama nikiomba,roho yangu ikazimia,nikaona maono;vyombo vinashuka kutoka mbinguni,nikitazama kwa makini,vilikuwa ni vichwa vya treni.[Waraka wa Pili wa Bashite kwa Wanakolomije 11:7-10]
Sasa kama mkuu wa kaya ambae na dola hajui vilipotoka..sisi wakosefu tumsaidie kwa lipi..alishasema Urais ni wa kwake tusimpangieMi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.