Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmhNdo akafungua kinywa na kunena 'kwa vile umesema wazee tuachwe tupumzike na wala tusihusishwe na mikataba mibovu ya wakati wetu, mkuu wa majeshi, basi ikikupendeza utawale milele' : Kulindana 20:17
Yule nabii mdogo akaonya "msitaje majina katika mahubiri yenu maana yule mwovu atawatia taabuni kwa kutumia nguvu zake na sheria zake za kiuonevu!Basi mfalme alipoona wadanganyika wamefurahi na kupendezwa baada ya kumweka rumande Ruge na Seth, akamwendea mwenyekiti wa TifuaTifua na Katibu wake nao akawaweka ndani. Hata yule Kanjibhai naye hakuweza kupona mbele ya mkono wenye nguvu wa mfalme Sizonje.
I wish I could be IGP 34: 3-6
Wewe usiulize moja kwa moja wataku tcra quite kifungu cha neno la kuhani mkuu wa wadanganyikaMimi nauliza tena? Hapa Tanganyika kuna reli za watu binafsi au? Maana suala la vichwa vyà treni kukosa wenyewe duh, aisee si ndio wangefurahi kuvichukua moja kwa moja!!
Hii nimeiona kwenye kitabu chaMimi nauliza tena? Hapa Tanganyika kuna reli za watu binafsi au? Maana suala la vichwa vyà treni kukosa wenyewe duh, aisee si ndio wangefurahi kuvichukua moja kwa moja!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nao wakasemezana tumfanye Mfalme huyu atutawale milele maana kupitia yeye tumepata kibali mbele ya macho ya muumba. Makinikia 21:3-4
Joseverest andiko lako kitabu gani na mstari wa ngapi"Na ndipo hapo kukakucha, vichwa vile vikashangaza watu wengi, vimekujaje hapo bila kuwa na mmiliki?? Wafuasi wa kule mtoni na wanaoendesha treni wakasema hata sisi hatujui mkuu"