Mishahara ilipwe kwa mkupuo wa miezi mitatu mitatu

Badala ungesema watu walipwe kila wiki wewe unasema miezi mitatu. Kwani wewe huwezi kuweka akiba hadi serikali ikusaidie. Napinga hoja.

Au fanya hivi usiwe unatoa mshahara wako ikifika miezi mitatu nenda katoe kwa mkupuo.
 
Badala ungesema watu walipwe kila wiki wewe unasema miezi mitatu. Kwani wewe huwezi kuweka akiba hadi serikali ikusaidie. Napinga hoja.

Au fanya hivi usiwe unatoa mshahara wako ikifika miezi mitatu nenda katoe kwa mkupuo.
Hilo kweli asiende kutoa miezi 3
 

Mshahara wako wa mwezi hurokana na makusanyo ya fedha by TRA na vyanzo vingine kwa mwezi huo! Sasa sijui hizo hela unazotaka ulipwe kwa mkupuo wa miezi mitatu serikali inazitoa wapi! Labda ikulipe hiyo miezi mitatu ukishakuwa umefanya kazi siku 90 kwa maana kuwa kila mwezi unaostahili kulipwa serikali ikuwekee! Kaongee na mabenki yakuhifadhie fedha zako kama Fixed Deposit ya siku tisini-tisini! Milioni moja net kwa mwezi kwa maisha ya Kitanzania inakutosha kabisa kwani kaa wiki unalipwa karibu 250,000/-,sasa kama hizo hazikutoshi kwa wiki basi ingia barabarani fanya kazi za kuchimba mitaro!
 
Ukisimama kukimbia, Soma Tena nilichoandika ndio ujibu
 
Bongo bana mbelez wanalipa kwa saa, kwa wiki ..... In lemtuz voice

Wewe unataka kwa 3 month.....
 
Bongo bana mbelez wanalipa kwa saa, kwa wiki ..... In lemtuz voice

Wewe unataka kwa 3 month.....
Huko ng'ambo wanalipwa mizigo ya hela, hapa ukilipwa kwa wiki Kuna wataoambulia 40,000/= Tu
Wakati huo ulipopatolea mfano mtu kwa wiki anapokea dollar 100 kima cha chini
 
Ni wazo zuri sana Kama tusingekuwa na mfumo wa kukaa kazini mpk muda wa ku-sign out

Yaan iwe mtu akimaliza majukumu yake asepe kwenye mishe zake ingekuwa vema..

Mwalimu mwenye kipindi kimoja kukaa mpk saa 9 Ni wastage of time.Kwann asibaki on duty tu wengine wakapige kazi mashamban na sokoni.???
 
Na mwenye kipindi saa sita? Aingie kazini muda huo?
 
Ndio kuna mwenzangu hapa ananambia yeye (akishapata kazi) chap anaomba mkopo wa mil 45 dah nikajisemea huyu si anataka kuwa mtumwa wa mkopo milele ila nilitaka kumuambia ila ni mbishi saaana nikamuacha.
Hiyo kazi atalipwa shilingi ngapi hata apate mkopo wote huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…