Supercomputer
JF-Expert Member
- Feb 13, 2021
- 634
- 1,311
Kwani wazungu ndo wakina nani?Wazungu wanalipana kwa wiki nyie mnataka tulipwe kwa miezi mitatu. Hii akili ya wapi mzee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wazungu ndo wakina nani?Wazungu wanalipana kwa wiki nyie mnataka tulipwe kwa miezi mitatu. Hii akili ya wapi mzee?
Badala ungesema watu walipwe kila wiki wewe unasema miezi mitatu. Kwani wewe huwezi kuweka akiba hadi serikali ikusaidie. Napinga hoja.Habari wanajamvi, Binafsi niliwaza na kuwazua ni jinsi gani mishahara inaweza kuwa na uzito kwa mfanyakazi,
Majibu niliyopata ni kwamba ifike hatua serikali ipitishe sheria ya kulipa mishahara kwa awamu moja ndani ya miezi mitatu mitatu,
Kwa mfano unalipwa Take home ya milioni 1
January ml 1
February ml 1
March ml 1
Hivyo mshahara wa March unaingia full digits milioni 3.
Hii ni njia Bora ya kuwasaidia wenye kipato kidogo cha mishahara kuweza kufanya mambo ya akiba kwa wepesi.
Ahsanteni na karibuni katika mjadala.
Hilo kweli asiende kutoa miezi 3Badala ungesema watu walipwe kila wiki wewe unasema miezi mitatu. Kwani wewe huwezi kuweka akiba hadi serikali ikusaidie. Napinga hoja.
Au fanya hivi usiwe unatoa mshahara wako ikifika miezi mitatu nenda katoe kwa mkupuo.
Yap, aache kupangia watu namna ya kuishi anavyotaka yeyeHilo kweli asiende kutoa miezi 3
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yap, aache kupangia watu namna ya kuishi anavyotaka yeye
Habari wanajamvi, Binafsi niliwaza na kuwazua ni jinsi gani mishahara inaweza kuwa na uzito kwa mfanyakazi,
Majibu niliyopata ni kwamba ifike hatua serikali ipitishe sheria ya kulipa mishahara kwa awamu moja ndani ya miezi mitatu mitatu,
Kwa mfano unalipwa Take home ya milioni 1
January ml 1
February ml 1
March ml 1
Hivyo mshahara wa March unaingia full digits milioni 3.
Hii ni njia Bora ya kuwasaidia wenye kipato kidogo cha mishahara kuweza kufanya mambo ya akiba kwa wepesi.
Ahsanteni na karibuni katika mjadala.
Ukisimama kukimbia, Soma Tena nilichoandika ndio ujibuMshahara wako wa mwezi hurokana na makusanyo ya fedha by TRA na vyanzo vingine kwa mwezi huo! Sasa sijui hizo hela unazotaka ulipwe kwa mkupuo wa miezi mitatu serikali inazitoa wapi! Labda ikulipe hiyo miezi mitatu ukishakuwa umefanya kazi siku 90 kwa maana kuwa kila mwezi unaostahili kulipwa serikali ikuwekee! Kaongee na mabenki yakuhifadhie fedha zako kama Fixed Deposit ya siku tisini-tisini! Milioni moja net kwa mwezi kwa maisha ya Kitanzania inakutosha kabisa kwani kaa wiki unalipwa karibu 250,000/-,sasa kama hizo hazikutoshi kwa wiki basi ingia barabarani fanya kazi za kuchimba mitaro!
Huko ng'ambo wanalipwa mizigo ya hela, hapa ukilipwa kwa wiki Kuna wataoambulia 40,000/= TuBongo bana mbelez wanalipa kwa saa, kwa wiki ..... In lemtuz voice
Wewe unataka kwa 3 month.....
Ikiwa mshahara wa mwezi 1 mtu akipokea ndani ya wiki hana hata mia je miezi 3 watu si watakufa njaa!???
Na mwenye kipindi saa sita? Aingie kazini muda huo?Ni wazo zuri sana Kama tusingekuwa na mfumo wa kukaa kazini mpk muda wa ku-sign out
Yaan iwe mtu akimaliza majukumu yake asepe kwenye mishe zake ingekuwa vema..
Mwalimu mwenye kipindi kimoja kukaa mpk saa 9 Ni wastage of time.Kwann asibaki on duty tu wengine wakapige kazi mashamban na sokoni.???
KwannAcha ibaki jinsi ilivyo sasa hivi.
Hiyo kazi atalipwa shilingi ngapi hata apate mkopo wote huo!Ndio kuna mwenzangu hapa ananambia yeye (akishapata kazi) chap anaomba mkopo wa mil 45 dah nikajisemea huyu si anataka kuwa mtumwa wa mkopo milele ila nilitaka kumuambia ila ni mbishi saaana nikamuacha.
hahahaha jibu murua kabisaFanya kz miezi mitatu then ndo tukulipe au vipi mwana
Ndio kila mtu ajali muda wake tuNa mwenye kipindi saa sita? Aingie kazini muda huo