[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malipo n hapa hapa duniani [emoji28][emoji28][emoji28] nyie watumishi tukijaga Kwenye hzo ofc za serikali mnatupaga pia huduma Kwa kuchelewa.......hasa watumishi wanaofanya NIDA pale ikiwezekana wasilipwe hata miezi mitatuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Nyie ndio mnamuendekeza huyo kumtaja kila mara so anaona keshakuwa maarufu humu JF ndio maana anaandika ushuzi humu. Huyo ilitakiwa awe ignored. Binafsi nilishanuignore huyo jamaa.Hii Dunia inashangaza sana. Kwa mfano mshahara ukitoka tu utasikia Mwashambwa anamsifia mama Samia, utamsikia MAMA SAMIA ANAWAJALI SANA WATUMISHI AMEWAPA MISHAHARA YAO. TUNAMPONGEZA MAMA SAMIA AMETOA PESA
HahaaaaMalipo n hapa hapa duniani 😅😅😅 nyie watumishi tukijaga Kwenye hzo ofc za serikali mnatupaga pia huduma Kwa kuchelewa.......hasa watumishi wanaofanya NIDA pale ikiwezekana wasilipwe hata miezi mitatuu 😅😅😅
🤣🤣Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Majeshi yapi?Majeshi [emoji91] imeshasoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF mods wameweka tag ya tetesi kumaanisha kuwa maisha ya wafanyakazi kuwa magumu ni tetesi tuu na sio habari za uhakika [emoji23]
Unajisumbua kuandika barua,, we ukiacha kwenda job na KAZI imeisha hakuna wa kukufuatilia😃😃 solution hapo ni hiyo, unaandika tu barua ya kuacha kazi, halafu unaachana nao.
Wengine vitengo mkuu, tusipoonekana kazini pana kuwa na kazi 😃😃Unajisumbua kuandika barua,, we ukiacha kwenda job na KAZI imeisha hakuna wa kukufuatilia
Nimelia sana 😭[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nadhani hapo unazungumzia kada zote isipokuwa afya maana huku huo muda sijui unautoa wapi, ukiianzisha mradi utakufa tu kama hausimamii mwenyewe maana unakuwa busy htrHiv.mnashindwaje kufunga karanga za mayai,kwenda na dumu la mtindi unawauzia staff wenzako,jufuga kuku je? Unashindwaje kufunga ice cream za ubuyu unapiga sh 100 za watoto,hivo vi ist mnavyokopa.unapakia ma hotpot ya chakula mchana unawauzia wenzio wizara nzima
Wanafunga mwaka.....huwa inachelewa hivi kial mwakaKuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Hiyo kubananisha namna hiyo kwasababu gani mkuu??Tujifunge mikanda..Hali ya uchumi duniani kote si nzuri..
Prof Mwigulu na Prof Mkumbo..Pambaneni kujenga uchumi imara ili nchi iweze kujitegemea toka ktk makucha ya wafadhiri na wakopeshaji..
Tupunguze matumizi yasio ya lazima..Tupunguze mishahara ya wanasiasa..Tupunguze taasisi zenye majukumu yanayoshabihiana mfano (TIC,TANRADE,BRELA,EPZA,TIRDO,SIDO,etc)..
Mh Mtukufu Rais apunguze ukubwa wa Baraza la Mawaziri mfano tuwe na
1:Wizara ya Fedha,Mipango,Uwekezaji na Maendeleo ya Uchumi
2:Wizara ya Usalama,Ulinzi na Mambo ya Ndani
3:Wizara ya Miundombinu,Uchukuzi,na Usafirishaji (Maji,Barabara,Umeme,Bandari,Airport)
4:Wizara ya Natural Resources (Madini,Oil and Gas,Misitu,Vivutio vya Utalii,Etc)
5:Wizara ya Haki,Katiba,Sheria,Utawala Bora,Maadili na Uadirifu
Wizara ya Elimu Bora,Sayansi Za Lisasi,Ubunifu,Ufahamu na Ufundi Stadi
Etc
Mmh.....mbona bado mapema hii.Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
PEPMIS mmejaza ipasavyo? No accountability no rights.Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.