Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Kupitia kwenye hili sakata la kuchelewa kwa mishahara nimegundua kuwa watumishi wengi siku hizi wakiajiriwa hawapati mafunzo ya kiutumishi kitu kidogo mtu ameshapost yaani mpaka boda wanajua mshahara haujatoka nimeshangaa zaidi kusikia mtangazaji anaongelea hii issue kwenye redio hawa ajira mpya na watumishi wengine wa umma wanatakiwa waenda training hawana siri waliropoka mpaka kiasi cha hela walichoongezewa kwenye mishahara yao mamlaka hamlioni hili ndio maana mambo mengi yanavuja kabla ya mda.t

Yaap namaanisha mshahara wa mtu binafsi mkuu yaani ni kawaida kukuta mtumishi anasimulia story au matatizo ya ofisini na raia wa kawaida tena mambo ya ndani kama mshahara umechelewa ulizeni kwa mamlaka husika najua kila kitengo kina utaratibu wake hii ya kulalamika mitandao ni kukosa maadili ya kazi ya utumishi wa umma lazima ujiulize mwezi huu kuna nini badala ya kulalamika maana sio kawaida.
Maadili gani wewe? Lipeni watumishi mishahara yao acheni kuishi kwa kukariri.
 
Kulikuwa na shida kwenye mfumo wa ulipaji serikalini (MUSE) tangu mwishoni mwa wiki iliyopita nahisi mpaka sasa haujakaa sawa labda ndo sababu. Maana hata malipo ya ndani kwenye mashirika nayo yamekwama kwa sababu ya mfumo. Sidhani kama ni kwa sababu ya serikali kukosa fedha ya kulipa
 
Kama mshahara uliopita ulilipwa tarehe 24, ili kukamilisha siku 30 za mwezi mshahara wa mwezi huu unatakiwa kutoka siku gani?
Mshahara huhesabika kuwa umelipwa tarehe ya mwiso kabisa ya mwezi husika ukishika Salary slip yako utagundua imeandikwa as per 31 au 30 ya mwezi huo..
Ikipita Tarehe hiyo ujue Sasa wamedhamiria!
 
Kulikuwa na shida kwenye mfumo wa ulipaji serikalini (MUSE) tangu mwishoni mwa wiki iliyopita nahisi mpaka sasa haujakaa sawa labda ndo sababu. Maana hata malipo ya ndani kwenye mashirika nayo yamekwama kwa sababu ya mfumo. Sidhani kama ni kwa sababu ya serikali kukosa fedha ya kulipa
vita ya israel ndo chanzo mkuu hela zimeisha
 
Kama wewe si mwajiriwa serikalini imekuja kuvamia huu uzi wewe ni mchawi.
Mshahara ni haki ya mtumishi bila kujali ana miradi mingapi nje ya mshahara.
Ni kawaida kulipwa tarehe 21-23 tangu 2016. Sasa nyie mnaokuja kusuta watumishi kwa kuulizia haki zao nyie ni wachawi, jobless na mafukara
Hahaha umewapa za chembe
 
Kulikuwa na shida kwenye mfumo wa ulipaji serikalini (MUSE) tangu mwishoni mwa wiki iliyopita nahisi mpaka sasa haujakaa sawa labda ndo sababu. Maana hata malipo ya ndani kwenye mashirika nayo yamekwama kwa sababu ya mfumo. Sidhani kama ni kwa sababu ya serikali kukosa fedha ya kulipa
Ni kweli MUSE huwa inasumbua, ila kwa hili la mishahara, sidhani kama MUSE inahusika.

Kuna shida tu huko serikalini.
 
mwajiri ndo alalamike???? boss alalamike hajakulipaa ar u kengeee?
Serikalini Napozungumzia mwajiri simaanishi Serkali!
Napozungumzia mwajiri namaanisha Maafisa masuhuli wote wa ngazi ya Wilaya na ngazi ya mikoa na Ngazi za kitaasisi!
Kwa mfano Katika wilaya Afisa Masuhuli ni Mkurugenzi wa Halmashauri na ndo muhusika aa stahiki zote za Watumishi..

Kisheria ndo alipaswa kuilalamikia serikali kwa kutokulipa pesa kwenye vyama vyao vya waajiri!
Kutokujua kanuni unaweza ukanitukana uwezavyo ila ndizo sheria zetu na kanuni zetu..

Watu wanaopaswa kulalamika ni vyama vya wafanyakazi na sio wafanyakazi
 
Maadili gani wewe? Lipeni watumishi mishahara yao acheni kuishi kwa kukariri.
Kanuni za maadili ya Utendaji ya utumishi wa Umma kifungu cha 9...Mtumishi wa umma haruhusiwi kutoa taarifa za serikali kwa umma usiohusika

Screenshot_20231025-135332.png
 
Serikalini Napozungumzia mwajiri simaanishi Serkali!
Napozungumzia mwajiri namaanisha Maafisa masuhuli wote wa ngazi ya Wilaya na ngazi ya mikoa na Ngazi za kitaasisi!
Kwa mfano Katika wilaya Afisa Masuhuli ni Mkurugenzi wa Halmashauri na ndo muhusika aa stahiki zote za Watumishi..

Kisheria ndo alipaswa kuilalamikia serikali kwa kutokulipa pesa kwenye vyama vyao vya waajiri!
Kutokujua kanuni unaweza ukanitukana uwezavyo ila ndizo sheria zetu na kanuni zetu..

Watu wanaopaswa kulalamika ni vyama vya wafanyakazi na sio wafanyakazi
Yani wewe uache kujililia na nafsi yako usubiri maafisa ambao nao hawajalipwa shida zimekabaaa... mpaka waje kukumbuka kapuku wew hujalipwaa sio leooo jisemee na nafsi yako yapo ya kumlilia afisa utumishi sio huu ujingaa ambao ni wajibu wa serikali kukulipa mshahra maana kazi uliyofanya sio ya maafisa.
 
Ila unatakiwa ulie lie kwa kufuata organogram na mwezi mkuu haujaisha bado kwahyo ambao hawajapata waendelee kusubiri
 
Yani wewe uache kujililia na nafsi yako usubiri maafisa ambao nao hawajalipwa shida zimekabaaa... mpaka waje kukumbuka kapuku wew hujalipwaa sio leooo jisemee na nafsi yako yapo ya kumlilia afisa utumishi sio huu ujingaa ambao ni wajibu wa serikali kukulipa mshahra maana kazi uliyofanya sio ya maafisa.
Soma kifungu cha kanuni ya maadili ya utumishi kifungu cha 9 kifungu kidogo cha kwanza mpaka cha 5 nimevituma hapo juu sana sana cha nne na cha tano
 
Back
Top Bottom