Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,922
- 5,620
Lazima wajeda awawahishie maana Yuko nje ya nchi, wanaweza kumuwahi kabla hajarudi.ni kweli wajeda tayari sijui sisi hatima yetu ikoje
Ila kulipa mishahara ni kitu basic sana ambacho kila serikali inapaswa kufanya, la sivyo hakuna sababu ya kuwa na serikali hiyo madarakani. Watawala wanalijua hili, ndo maana hawathubutu kuwacheleweshea wanajeshi.