Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Mkuu unafikiri ukiniita hivyo itabadilisha Hali halisi?

Kama kwa kuniita hivyo itapunguza machungu yako naomba niite tena ili upoe maumivu!

eniwei nikuache maana kwa umri wangu Sioni kama kuna haja ya kujibizana na watoto ila nilichokisema wapo watakaokikubali na usiconclude kitu kaama hukijui ...

Nimepata na nimekutajia mpaka muda niliopata na nimetoa jana ngoja nikitoka hapa nilipo nitakutumia kipande cha bank statements usome...

Hunijui mimi na mimi sikujui..
Hakuna mahali nimekuvunjia heshima nimkupa option nzuri tu kama kweli wwww unajinasibu kuwa mfanya kzi hukosi kuwa na marafiki wafanyakazi mikoa tofauti au halmashauri tofauti au hata ndani ya halmashauri unless Wwe ni mwajiriwa mpya...
Jaribu kuwauliza na wala haikuwa na haja kuwakasirikia waliopata Mshahara..

Nimetoa ushuhuda wangu na mimi ni mwajiriwa kwa miaka mingi sana na nikudanganye wewe ili nipate faida gani..

Cha msingi ukiona mtu kaandika humu sio wote mnalingana kiumri wengine sis hatunaga utani fuatilia Post zangu zote zinaga huduma ya masihala kwenye hoja mayb pengine hunijui
I agree with you, wapo watu wamepata Kama wewe hujapata kwanini 'umtukane' anayesema amepata? Mimi Bado ni bila bila ikifika saa sita haujatoka nitazima Simu maana nasumbuliwa
 
Kupitia kwenye hili sakata la kuchelewa kwa mishahara nimegundua kuwa watumishi wengi siku hizi wakiajiriwa hawapati mafunzo ya kiutumishi kitu kidogo mtu ameshapost yaani mpaka boda wanajua mshahara haujatoka nimeshangaa zaidi kusikia mtangazaji anaongelea hii issue kwenye redio hawa ajira mpya na watumishi wengine wa umma wanatakiwa waenda training hawana siri waliropoka mpaka kiasi cha hela walichoongezewa kwenye mishahara yao mamlaka hamlioni hili ndio maana mambo mengi yanavuja kabla ya mda.
 
Watu wanasema mshahara umetoka mbona wapiga debe hatujaona mshahara wowote huku
 
Kupitia kwenye hili sakata la kuchelewa kwa mishahara nimegundua kuwa watumishi wengi siku hizi wakiajiriwa hawapati mafunzo ya kiutumishi kitu kidogo mtu ameshapost yaani mpaka boda wanajua mshahara haujatoka nimeshangaa zaidi kusikia mtangazaji anaongelea hii issue kwenye redio hawa ajira mpya na watumishi wengine wa umma wanatakiwa waenda training hawana siri waliropoka mpaka kiasi cha hela walichoongezewa kwenye mishahara yao mamlaka hamlioni hili ndio maana mambo mengi yanavuja kabla ya mda.
Mishahara kuchelewa ni kitu kidogo? Mkuu Nina deni Kwa mangi, watoto wananiangalia ww unasema kitu kidogo....
 
Kupitia kwenye hili sakata la kuchelewa kwa mishahara nimegundua kuwa watumishi wengi siku hizi wakiajiriwa hawapati mafunzo ya kiutumishi kitu kidogo mtu ameshapost yaani mpaka boda wanajua mshahara haujatoka nimeshangaa zaidi kusikia mtangazaji anaongelea hii issue kwenye redio hawa ajira mpya na watumishi wengine wa umma wanatakiwa waenda training hawana siri waliropoka mpaka kiasi cha hela walichoongezewa kwenye mishahara yao mamlaka hamlioni hili ndio maana mambo mengi yanavuja kabla ya mda.
SASA NA WEWE KWENYE VITU VYA SIRI UMEONA NI MSHAHARA HIVI WATZ TUPOJE SISI TUPO KIUWOGAUWOGA SANA
 
Kupitia kwenye hili sakata la kuchelewa kwa mishahara nimegundua kuwa watumishi wengi siku hizi wakiajiriwa hawapati mafunzo ya kiutumishi kitu kidogo mtu ameshapost yaani mpaka boda wanajua mshahara haujatoka nimeshangaa zaidi kusikia mtangazaji anaongelea hii issue kwenye redio hawa ajira mpya na watumishi wengine wa umma wanatakiwa waenda training hawana siri waliropoka mpaka kiasi cha hela walichoongezewa kwenye mishahara yao mamlaka hamlioni hili ndio maana mambo mengi yanavuja kabla ya mda.
Fungu la mishahara linakuwaje siri ili hali linapitishwa bungeni? au unamaanisha mshahara wa mtu binafsi.
 
Mama ameuza bandari hela amewalipa akina mwijaku so chungu ni kitupu
 
Kupitia kwenye hili sakata la kuchelewa kwa mishahara nimegundua kuwa watumishi wengi siku hizi wakiajiriwa hawapati mafunzo ya kiutumishi kitu kidogo mtu ameshapost yaani mpaka boda wanajua mshahara haujatoka nimeshangaa zaidi kusikia mtangazaji anaongelea hii issue kwenye redio hawa ajira mpya na watumishi wengine wa umma wanatakiwa waenda training hawana siri waliropoka mpaka kiasi cha hela walichoongezewa kwenye mishahara yao mamlaka hamlioni hili ndio maana mambo mengi yanavuja kabla ya mda.
Kwa mujibu wa sheria za ajira na kazi pamoja na Kanuni za kudumu za utumishi wa umma (2009) Mshahara ni Haki ya mtumishi na ni haki yake kuidai...
Japo kutangaza kima cha mshahara wako Ama kutangaza kiasi cha ongezeko ni kosa
 
Shida sio kudai shida ni kulalamika public tena huyo anayelalamikiwa wala sio mtumishi ni sawa kila mtu mtaani ajue kwamba mshahara haujatoka?
 
Fungu la mishahara linakuwaje siri ili hali linapitishwa bungeni? au unamaanisha mshahara wa mtu binafsi.
Yaap namaanisha mshahara wa mtu binafsi mkuu yaani ni kawaida kukuta mtumishi anasimulia story au matatizo ya ofisini na raia wa kawaida tena mambo ya ndani kama mshahara umechelewa ulizeni kwa mamlaka husika najua kila kitengo kina utaratibu wake hii ya kulalamika mitandao ni kukosa maadili ya kazi ya utumishi wa umma lazima ujiulize mwezi huu kuna nini badala ya kulalamika maana sio kawaida.
 
Shida sio kudai shida ni kulalamika public tena huyo anayelalamikiwa wala sio mtumishi ni sawa kila mtu mtaani ajue kwamba mshahara haujatoka?
Kwa hiyo mangi ambae anajua huwa namlipa tarehe 22 au 23 nitamwambia nini? Lazima niseme haujatoka and it does not necessarily mean kulalamika
 
Shida sio kudai shida ni kulalamika public tena huyo anayelalamikiwa wala sio mtumishi ni sawa kila mtu mtaani ajue kwamba mshahara haujatoka?
Ma HRO siku hizi hawafanyi Orientation ya Kikanuni na sheria..Kwa hyo watumishi wengi hawajui hata Kanuni za Maadili ya Utumishi wa umma...

Unakuta mtumishi kazinguana na Boss wake atakuja huku kufungua Uzi.
Kikubwa Serikali kupitia Halmashauri zake iangalie snaa hata kupublish vitu vya kiutumishi Public huwa tunafanya makosa sema kuna wakati kwenye kuelimisha kidgo n8 sawa...
 
Back
Top Bottom