Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Kuna watu kwenye system washatemwa [emoji16][emoji16]
Maneno na image vinashabihiana sana
1698148661010.png
 
Mimi CRDB lakini hola
Basi kuna shida mahali mkuu check na wenzako hapo halmashauri yenu kama ni taasisi au wizara cheki na wenzako kuulizia ukiona wamepatq jaribu kucheck na Afsa utumishi maaana mpaka sasa nimewasiliana na wengine wamepata mchana huu wengine asbhi lakini wengi wa CRDB tulipata jana kwa sehemu mbalimbali nchini...

Na kama ni ajira mpya mzee hiyo ishapita subiri mwezi ujao mkuu na ukiweza msumbue sana HRO wako maana kwa ajira mpya kipindi sisi tunaajiriwa miaka hiyo tulikuwa tunakaa miezi mitano mpka saba huonji lepe zaidi ya posho tu kuja kupata check number miezi mitano
 
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza.
Kwa uzoefu ni kuwa wasipolipa 21 ya kila mwezi basi ni 23 au 25
 
Basi kuna shida mahali mkuu check na wenzako hapo halmashauri yenu kama ni taasisi au wizara cheki na wenzako kuulizia ukiona wamepatq jaribu kucheck na Afsa utumishi maaana mpaka sasa nimewasiliana na wengine wamepata mchana huu wengine asbhi lakini wengi wa CRDB tulipata jana kwa sehemu mbalimbali nchini...

Na kama ni ajira mpya mzee hiyo ishapita subiri mwezi ujao mkuu na ukiweza msumbue sana HRO wako maana kwa ajira mpya kipindi sisi tunaajiriwa miaka hiyo tulikuwa tunakaa miezi mitano mpka saba huonji lepe zaidi ya posho tu kuja kupata check number miezi mitano
Wewe unaonekana ni tapeli tu wa mtandaoni. CRDB mambo bado.
 
Mkuu unafikiri ukiniita hivyo itabadilisha Hali halisi?

Kama kwa kuniita hivyo itapunguza machungu yako naomba niite tena ili upoe maumivu!

eniwei nikuache maana kwa umri wangu Sioni kama kuna haja ya kujibizana na watoto ila nilichokisema wapo watakaokikubali na usiconclude kitu kaama hukijui ...

Nimepata na nimekutajia mpaka muda niliopata na nimetoa jana ngoja nikitoka hapa nilipo nitakutumia kipande cha bank statements usome...

Hunijui mimi na mimi sikujui..
Hakuna mahali nimekuvunjia heshima nimkupa option nzuri tu kama kweli wwww unajinasibu kuwa mfanya kzi hukosi kuwa na marafiki wafanyakazi mikoa tofauti au halmashauri tofauti au hata ndani ya halmashauri unless Wwe ni mwajiriwa mpya...
Jaribu kuwauliza na wala haikuwa na haja kuwakasirikia waliopata Mshahara..

Nimetoa ushuhuda wangu na mimi ni mwajiriwa kwa miaka mingi sana na nikudanganye wewe ili nipate faida gani..

Cha msingi ukiona mtu kaandika humu sio wote mnalingana kiumri wengine sis hatunaga utani fuatilia Post zangu zote zinaga huduma ya masihala kwenye hoja mayb pengine hunijui
 
Unastahili kupuuzwa tu
 
Mkuu nikudangnye weww nipate faida gani...
Niamini nachokuambia kuwa jana nimechukua pesa ba Tayari nimefanya matumizi kadhaa na huo ndio ukweli wangu..
Sina haja ya kukudanganya wwe mimi natumia CRDB na jna saa kumi na mbili na dakika 50 jioni nilipokea meseji ya muamala nikiwa naangalia mechi ya Yanga nikaitoa jana pesa Yanga akiwa kasawazisha goal..
Sasa humu hatuongelei wafanya kazi wa kwa viwandani kwa wahindi

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unafikiri ukiniita hivyo itabadilisha Hali halisi?

Kama kwa kuniita hivyo itapunguza machungu yako naomba niite tena ili upoe maumivu!

eniwei nikuache maana kwa umri wangu Sioni kama kuna haja ya kujibizana na watoto ila nilichokisema wapo watakaokikubali na usiconclude kitu kaama hukijui ...

Nimepata na nimekutajia mpaka muda niliopata na nimetoa jana ngoja nikitoka hapa nilipo nitakutumia kipande cha bank statements usome...

Hunijui mimi na mimi sikujui..
Hakuna mahali nimekuvunjia heshima nimkupa option nzuri tu kama kweli wwww unajinasibu kuwa mfanya kzi hukosi kuwa na marafiki wafanyakazi mikoa tofauti au halmashauri tofauti au hata ndani ya halmashauri unless Wwe ni mwajiriwa mpya...
Jaribu kuwauliza na wala haikuwa na haja kuwakasirikia waliopata Mshahara..

Nimetoa ushuhuda wangu na mimi ni mwajiriwa kwa miaka mingi sana na nikudanganye wewe ili nipate faida gani..

Cha msingi ukiona mtu kaandika humu sio wote mnalingana kiumri wengine sis hatunaga utani fuatilia Post zangu zote zinaga huduma ya masihala kwenye hoja mayb pengine hunijui
Wewe sio mtu mwema humu .unasema uongo peupe .

Back
Top Bottom