Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,446
- 3,184
Samaki, kuku, pork ni majaliwa! Kama mwaka huu kuku amekufa mara moja. Haya mabroiler hatuli.MKUU SAMAKI UNAKULA LINI?
Kitu ambacho nimefeli maishani mwangu ni kujiwekea bajeti ya chakula mfano Jumatatu nitakula kitu fulani kwa kiasi hiki au niwekee kiasi fulani kwa ajili ya matumizi ya mwezi mzima?
Budget na aina ya chakula na kiasi ni muhimu Kwa upande wangu. Lakini sijifungi lazima Nile kitu fulani jumatatu. But all east Kila wiki kuna vitu tutakula!