Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Acheni uongo wa kipumbavu bas mnapata faida gani au mnatafuta attention

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Mkuu nikudangnye weww nipate faida gani...
Niamini nachokuambia kuwa jana nimechukua pesa ba Tayari nimefanya matumizi kadhaa na huo ndio ukweli wangu..
Sina haja ya kukudanganya wwe mimi natumia CRDB na jna saa kumi na mbili na dakika 50 jioni nilipokea meseji ya muamala nikiwa naangalia mechi ya Yanga nikaitoa jana pesa Yanga akiwa kasawazisha goal..
 
Hii mishahara vipi, wengine tayari, wengine bado !!
 
Hakuna siku nipo karibu na simu yangu kama Leo, kila niliskia meseji inaingia tu Naangalia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maisha Raha sana
Vipi hujapata au
 
Back
Top Bottom