BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Sema kweli?Extra duty allowance ya mfanyakazi wa wizara kwa mwezi tena ni 1m sio hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kweli?Extra duty allowance ya mfanyakazi wa wizara kwa mwezi tena ni 1m sio hiyo
Naona kama unateseka mara ukasage mahindi yani uko bize sana kana kwamba ukifanya hayo yote unakua tofauti na mtu ambaye hafanyi hivyoSIJAKUELEWA KWENYE CONTEXT IPI ?
Acheni uongo wa kipumbavu bas mnapata faida gani au mnatafuta attentionCRDB tangu jana Saa kumi na mbili dk 50 Jiioni
Hawa jamaa wanaleta masiharaAcheni uongo wa kipumbavu bas mnapata faida gani au mnatafuta attention
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Mkuu nikudangnye weww nipate faida gani...Acheni uongo wa kipumbavu bas mnapata faida gani au mnatafuta attention
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Wallah Naapa mshahara umetoka jana na sina sababu ya kutafuta attention nitafute attention kwa umri huu itanisaidia niniHawa jamaa wanaleta masihara
Sina haja ya kukudangany mkuu jana mimi nimepata pesaAcheni uongo wa kipumbavu bas mnapata faida gani au mnatafuta attention
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
au sioNaona kama unateseka mara ukasage mahindi yani uko bize sana kana kwamba ukifanya hayo yote unakua tofauti na mtu ambaye hafanyi hivyo
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Kwani unatumia NMBHakuna siku nipo karibu na simu yangu kama Leo, kila niliskia meseji inaingia tu Naangalia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maisha Raha sana
Vipi hujapata auHakuna siku nipo karibu na simu yangu kama Leo, kila niliskia meseji inaingia tu Naangalia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maisha Raha sana
Nahisi tatzo lipo mahali! Hasa kwa wanaotumia NMBHii mishahara vipi, wengine tayari, wengine bado !!
NMB wapo waliopata toka asubuhiKwani unatumia NMB
Wengi tu NMB wamepataNahisi tatzo lipo mahali! Hasa kwa wanaotumia NMB
Ila CRDB sisi tulipata toka jna watu ukiwaambia wanajua tunatania...NMB wapo waliopata toka asubuhi
Kuna watu kwenye system washatemwa [emoji16][emoji16]Ila CRDB sisi tulipata toka jna watu ukiwaambia wanajua tunatania...
Mayb kuna shida mahali
Inaonekana kibubu kimelemewa na walipwaji, huenda mwarabu ataokoa jahazi baada ya kulamba bingo.Hii mishahara vipi, wengine tayari, wengine bado !!
Nakazia na Shimwaa ya kupimaHiyo ni posho mkuu, mshahara una koma mbili au tatu, tuendelee kula miguu ya kuku.