Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Au kuna uchawi unatumika kuwavutia watu?Ikiitwa bank ya makabwela ,
Sijui maana yake ni nini?
Yaani sijui kama kuna bank nyingine yoyote bongo ina foleni ya ajabu kama hiyo!
Kina Mwaka sijui 2006 niliwahi kuingia huko the Tawi la karibia Na NAO mjini mtaa wa Samora umati nilokutaga kule na A/.c yenyewe nikaitekelekeza mazima tangu siku hiyo [emoji108]
Kwa upande wa watumishi wengi wa umma kuwa member wa NMB ni hofu tu , wengi wanaamini ukiwa NMB ndio utapata mikopo na ukiwa nje ya NMB hata mshahara hutalipwa