Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Huyo warder upandaji wake wa vyeo ni mgumu Sana compared to Mwalim atasugua sana benchi hapo kwenye warder/wardress
Utaanza kazi bila kupitia Warder/wardres sheria ni miaka mi3 au mi4 kwa utaratibu wasasahv anakuwa Corporal assume ni Diploma Holder au Degree holder ambae ataruka kuwa SGT/A/insp na kwa utaratibu wa sasa mshahara unaanza badirika kulingana na Fani kwanza kabla ya cheo unajua hilo mkuu!?
 
Unajua tgts E ni sh ngap mkuu kwa sasa?
 
Mwambie huyo mwalimu aache ujinga 21 Ya mwezi tangu serikali ikalipa mishahara .

Nimefanya kazi kwa miaka 9 na serikali sijawahi ona mshahara wa tarehe 21 ya mwezi
Unauhakika? Kipindi cha Magufuli mpaka trh 18 mshahara ulitoka
Chamsingi kila mtumishi atengeneze mianya mingine tofauti na mshahara
 
Tuweke mizania Sawa Degree ya Ed Mwalimu na Degree ya Ed awe Jeshi lolote wizara ya Mambo ya ndani afu ndio tuje tujadili mkuu wangu
Uliposema kuwa teacher mwenye makato ya heslb maana yake ulijua kuwa ni teacher mwenye degree Kwa sabb wao ndio wanapata mikopo
Sijui mishahara ya wizara ya mambo ya Ndani kwa hao degree holders fresh
 
Uliposema kuwa teacher mwenye makato ya heslb maana yake ulijua kuwa ni teacher mwenye degree Kwa sabb wao ndio wanapata mikopo
Sijui mishahara ya wizara ya mambo ya Ndani kwa hao degree holders fresh
Sawa mkuu wangu!!

Tupambane niko kwenye utumishi pia wizara ya Afya mwaka mmoja tu ila nina ndugu zangu wawili askari magereza na Mwalimu kias flan najua hizi habari kikubwa tupambane tu mishahara kama ukikatwa ukabaki na koma moja tu huo sio mshahara ni Posho!!
 
Duh kwa hiyo ukiwa na salary yenye koma moja Bado ni posho nilikuwa sijui
 
Benki ziko nyingi wao wanakumbatia nmb tu.
crdb iko poa sana

Ikiitwa bank ya makabwela ,

Sijui maana yake ni nini?

Yaani sijui kama kuna bank nyingine yoyote bongo ina foleni ya ajabu kama hiyo!

Kina Mwaka sijui 2006 niliwahi kuingia huko the Tawi la karibia Na NAO mjini mtaa wa Samora umati nilokutaga kule na A/.c yenyewe nikaitekelekeza mazima tangu siku hiyo [emoji108]
 
Back
Top Bottom