Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitaje mwenyewe kuwa ndio kwenye shida, waache walimu! Kuchelewa siku mbili kwa mshahara kunaathiri nini ilhaki mwisho wa mwezi bado?Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.
Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.
Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka.
Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza.
Acha utani mkuu unatafuta attention ??Hatimaye Serikali Kuu yalipaaaaah!!
............Watu wakishiba hawajui maumivu ya njaa.Ndio watu wajifunze joto la kitaa , na dharau waache , ule ujinga wao wa kudharau vijana hustler kitaa na kuwaambia " mjiajiri "
Ninyi mmetumikia miaka yote hiyo na hamna hata savings kidogo za kusustain maisha siku chache tu .
Watumishi Mminyo kidogo tu kilio kama ngiri pori.
Imagine ugumu wanaokutana nao watu wanaoungaunga kitaa bila sustainable job au biashara wanaishije .
Halafu kijana asiye na ajira kitaa anaambiwa " Jiajiri wewe mpumbavu " mara " vijana wavivu " ,mara "Maisha sio magumu ,muache uvivu "
Kumbe watumishi wakitupwa huku kitaa wanakuwa worse off than jobless youths wa hili taifa ambao wanapigiwa kelele kila siku
Niko Wizara ya Afya kazini kwetu hakuna aliekuwa amelipwa hata mmoja mida hii tuliopo shift kila mtu anapokea SMS
Habari njema hizoNiko Wizara ya Afya kazini kwetu hakuna aliekuwa amelipwa hata mmoja mida hii tuliopo shift kila mtu anapokea SMS
Hali haikuwa nzuri Kiukweli!!Habari njema hizo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu ni ajira mpya nini
Hapana mkuu nakaribia kustaafu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu ni ajira mpya nini
Duhh kazi ipo.
Naona huu mtanange ukiendelea tena kesho.
Huwezi kuwaona tena hapa mzigo washaingiziwa tayari wamekimbia uzi.Naona huu mtanange ukiendelea tena kesho.
Huwezi kuwaona tena hapa mzigo washaingiziwa tayari wamekimbia uzi.
Mbn kimya kimyaMjomba Salary imetoka tangu jana mimi ndo nakwambia Wwe na naelekea kumaliza Hela kabisa maana jana nilitandika bia za kutosha [emoji28][emoji28]