Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 1,534
- 1,511
HahahaMaticha wengine huwa wanaingia na hivyo vishkwambi kwenye mabanda ya bia wanatamba navyo kwamba eti ni laki 8.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaMaticha wengine huwa wanaingia na hivyo vishkwambi kwenye mabanda ya bia wanatamba navyo kwamba eti ni laki 8.
Hahaha we jamaaaNdio maana nimepita hapa las carinyo nimeona watu wanafurahi na vishikwambi vyao.
acha uongo wewe walimu waliishapata zamaniNdio maana nimepita hapa las carinyo nimeona watu wanafurahi na vishikwambi vyao.
hela imeishaaa tatizoooNaona wote mmelipwa, malalamiko hamna tena.
[emoji16][emoji16][emoji16] wamelipa madeni kwa Mangihela imeishaaa tatizooo
Hahaha Kwa nnPesa hata ikitoka Haioni giza mbiliii[emoji16][emoji16][emoji16]
😀 😀 😀shidas kila konaa aisee...michangto plus madeniiHahaha Kwa nn
Unakuta moderator ndo aliyeandika Kichwa hicho cha Habari labda jamaa aliandika tofauti 🤣🤣Laana za kujitakia, moderators mko wapi? Hii siyo mara ya kwanza nyuzi za kudhalilisha walimu, shame on you
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Karibu uzi utafufuka
[emoji1787] ikipita J5 bilabila Tunaweka kambi hapaKaribu uzi utafufuka
Uzi uko mbioni kufufuka yetu macho[emoji1787] ikipita J5 bilabila Tunaweka kambi hapa