Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Jitaje mwenyewe kuwa ndio kwenye shida, waache walimu! Kuchelewa siku mbili kwa mshahara kunaathiri nini ilhaki mwisho wa mwezi bado?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
............Watu wakishiba hawajui maumivu ya njaa.
 
Ndio maana nimepita hapa las carinyo nimeona watu wanafurahi na vishikwambi vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…