Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Tatizo walimu wengi wanavojiweka Dr wa tamisemi ana maisha gani magumu kiasi hicho hivo Dr mwezi unaweza Isha hajapata heka yoyote ndani ya kazi , watumishi wengi Hali ngumu lakini waalimu watu wanaamini maisha yao Ni magumu Sana kwani wengi wanakopa Sana mitaani kwa watu wakawaida so usitumie nguvu nyingi kulinganisha Dr wa tamisemi sijui acha raia waongee wanachoona
 
Ndo maana nikasema Uzi ubadilishww Jina πŸ˜…πŸ˜…
Tunawaonea Walimu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…