DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Wengi wanasikilizia salaryHii ngoma inasubiriwa na wengi ila wanasukumiziwa Walimu [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wanasikilizia salaryHii ngoma inasubiriwa na wengi ila wanasukumiziwa Walimu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa watu wafanye kazi bure au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji15]Wengi wanasikilizia salary
Kuna mdau humu alisema, hata kama una balance ila ikifika tarehe ya Salary kunakuwa na kamzuka fulani hivi.Wengi wanasikilizia salary
Kama hali ikiendelea hivi kesho siendi hospitali kabisaa waniacheKuna mdau humu alisema, hata kama una balance ila ikifika tarehe ya Salary kunakuwa na kamzuka fulani hivi.
Ndio maana watu wametega masikio..
Km ni daktari bora usiende kwa stress hizi usije choma wagonjwa sindano za kwenye micunduKama hali ikiendelea hivi kesho siendi hospitali kabisaa waniache
Tushasema ile barua huwa ipo standby, jaribu uone utaipata kabla halitachowea [emoji3][emoji3][emoji3]Kama hali ikiendelea hivi kesho siendi hospitali kabisaa waniache
sio walimu tu . tatizo watu wanafeki maisha watu hela hamnaa mtaaniWaalimu wanalia sana huku..
Walipeni jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izo enzi za maguTushasema ile barua huwa ipo standby, jaribu uone utaipata kabla halitachowea [emoji3][emoji3][emoji3]
Tunachukua sick sheet,mbwaimbwaiKama ikivuka kesho ijumaa si ndio inakua ntolee hiyo
Kuwa serious basi mkuuCRDB tyr..
CRDB ipi? Hii ya hapo Alli Hassan mwinyi Road..MkuuCRDB tyr..
NMB pia tayari