Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Leo ijumaa ni sawa tupo dakika ya 89 mjue, ikishindikana ni jumatatu hiyo. Haya masaa yalobaki kufika mpaka jioni ni sawa na dakika za nyongeza.
 
Hapo sawa,kama halmashauri wamepata,masna dependants walikua wanasubiri pia,kwasababu wengine palizi imeanza.
 
Back
Top Bottom