Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Mwalimu wanamtolea vitu nje huku.. walipeni hao watu jamani. Wanateseka sana.
Kama kweli hawajawekewa hadi leo,watakua wameteseka sana.Kuna Mwalimu wanamtolea vitu nje huku.. walipeni hao watu jamani. Wanateseka sana.
Miso misondo, umepigaje hapoChino Wana man
Yaan michepuko kwa mshahara wa ualimuWewe unawaza kula . Wao wana madeni ya pombe na michepuko. Hukai kijijini wewe.
Toka jana jionNMB serikali kuu Imoo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Walimu washavurugwa mpk dk hii dukani hakukopeki huko.. mtaani hapakaliki.
Ila maisha ya mshahara tena ualimu ni ya kifala sana!Walimu ni makapuku hata nzi wanawacheka [emoji23][emoji23][emoji23]
milion unataka ujaze full tank kila week..utoke out flani za kinyamaaa...pesa haioni giza mbiliMaisha ya kutegemea mshahara tuu ni chenga sku zote , kibongo bongo angalau uwe unavuta 5 million ndo unaweza kusurvive , hii mishahara sjui 1 million ,area 700K , mara 400K miyeyusho Sana
Ndio mnatumia tgs nyie auNMB serikali kuu Imoo
Ngoma naskia J3 hiyo.. au tarehe 34Kama kweli hawajawekewa hadi leo,watakua wameteseka sana.
Ni Halmashauri may be ila sie Hapa kituoni hata CRDB sizani ila NMB imezama asubuhiToka jana jion
CRDB tyr mchana imesoma.Ni Halmashauri may be ila sie Hapa kituoni hata CRDB sizani ila NMB imezama asubuhi
toka jana hii weekend ndo hata giza moja haionii...jamani mshara utoke mwingine bhasii 😀 😀 😀CRDB tyr mchana imesoma.